VIDEO:AJARI MBAYA YA KUTISHA:IMETOKEA MBANDE WILAYA YA KONGWA LEO 1/9/2024

jamaa yangu ananiambia kila siku habari itv lazima iripotiwe ajali. anasema jana Manyara watoto wamekufa watatu ajali ya bus lililobeba watoto wakitoka shuleni kwenda majumbani kwao kufuatia kufungwa shule.
 
Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini
Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana.
Ni kati ya coaster na kimbinyiko
MUNGU awape nafuu wote walio umia
tanzania ni nchi hatarishi sana kuishi.
 
Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini
Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana.
Ni kati ya coaster na kimbinyiko
MUNGU awape nafuu wote walio umia
Wapumzike kwa aman sana YESU saidia watoto wako jaman
 
Kipindi hiki Cha uchaguzi matukio haya yatakuwa mengi sana. Usisafiri bila maombi ya nguvu kwa Mungu, kuharubu roho za kafara, ajali na mauti kwa Jina na Damu ya YESU.
 
Ukiwa mtu wa kuendesha masafa marefu utaelewa ujinga unaoendelea huku barabarani..

Gari yangu inakimbia saaana ila kuna muda najisemea tu (Nataka kumuonyesha nani kama gari yangu ina mwendo?) Nawaacha wenye haraka waende na wengine nawaokoa kwa kujibana pembeni ili overtake zao zifanikiwe..

Hao wa Mabasi ni wapuuzi sana wanaendesga kama bodaboda.. juzi pia wakat natok DSM nakuj Arusha nimekutana na gari nyingi hapo Kipande cha Bagamoyo hazina TAA nyingine zinawaka taa moja tu tena yenye mwanga hafifu hasa zile gari za kubeba mananasi ya kiwangwa.

Umakini unahitajika sana sana. Pia kuendesha kwa tahadhari tujitahidi kutumia njia tofaut tofaut za kumu-alert dereva anayekuja akupe attention.
 
Hadi ajali ambazo ni uzembe wa madereva mnasingizia wakina Mwigulu Bongo sihami
 
Kuna msenge mmoja tulipishana nae mlandizi sie tunaenda dar aisee yule jamaa usiku anatembe bila taa.
 
Vipi kama hayo yote si kweli ila walikua kwenye mwendo mkali na kutokua makini/wazembe hao madereva?
 
Kuna msenge mmoja tulipishana nae mlandizi sie tunaenda dar aisee yule jamaa usiku anatembe bila taa.
Ndio maana mie matrafik siwapendi. Usiku ndio muda mzr wa kukamata magari mabovu yenyewe yamelala. Asubuh yanaanza kutafuta hela za chai wakati usiku kuna damage kibao zimefanyika.
 
Nchi hii ina uzembe mwingi sana barabarani. Watu wanaendesha magari kama vichaa. Hapo tatizo sio barabarani, ku overtake ovyo bila kufuata sheria za barabara. Wiki hii tu kuna ajali zaidi ya tano zinahusisha magari kugongana.
 
Pole kwa wana familia,ndugu na jamaa wa waliopatwa na janga la hii ajali, Mungu wetu sote awape heri ya kupona haraka inshallah
 
Kwa muundo wa barabara hizi za bongo, ajali zitaendelea kuwa nyingi tu...

Coaster ni private hire, humo utakuta kulikuwa na ndugu au wanafamilia na wote wamekutwa na madhila...
 
Ajari mbaya imetokea leo asubuhi njiani kuelekea Dodoma mjini
Majeruhi ni wengi idadi ya vifo bado hijajulikana.
Ni kati ya coaster na kimbinyiko
MUNGU awape nafuu wote walio umia

Naona pia kuna lori limechochora pembeni ya barabara...

Kuna uwezekano mkubwa ni ajali iliyosababishwa na zaidi ya Coaster + Kimbinyiko...

Kuna mama anaonekana anakata roho hapo, jamaa mwanzo kajitahidi kukaa naye na hadi kamfanyia CPR...

Hatari sana...
 
Ujinga mwingine ni aibu. Abiria wanaona uendeshaji mbaya badala ya kumkanya dereva wao wanashikilia siti.
Mkuu kumwaga moto ni muhimu la sivyo chuma kugeuka itakua ndoto na tunataka posho. Dar-Dom kushindisha chuma ni aibu kwahyo ni mwendo wa kuwahi.
 
Upo sahihi mkuu apo wa lory itakua kaona isiwe kesi ili kuepusha majanga zaidi akawaacha uko yeye akachochora, la sivyo madhara yangekua makubwa. Kati ya coster au kimbinyiko kuna aliekua anaovertake bila kuchukua taadhari.
 
Mkuu kumwaga moto ni muhimu la sivyo chuma kugeuka itakua ndoto na tunataka posho. Dar-Dom kushindisha chuma ni aibu kwahyo ni mwendo wa kuwahi.
Unaishia kuwahi kaburini badala ya kusudio la safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…