Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Usiku huwa wanafanya shangwe na kadansee kwenye mabaa hadi za kubrashia ziishe.Ndio maana mie matrafik siwapendi. Usiku ndio muda mzr wa kukamata magari mabovu yenyewe yamelala. Asubuh yanaanza kutafuta hela za chai wakati usiku kuna damage kibao zimefanyika.
Kwanini hukumwambia dereva apunguze speed?Nilipanda shabiby la usiku! Nikalala lakini nilishtuliwa na kasi ya gari
Alikua anaendesha kwa fujo hadi abiria tunashikilia siti vizuri.
Nashkuru Mungu tulifika Salama.
Na utekaji umeongezekaKwa mwendazake iliwezekana kupunguza ajali, kwa Sasa zimepamba moto duhh!
Kujivunia ni lazima.Kwani kila mtu analo?Kumbe Gari sio kitu chakujivunia kabisa aiseh!!
Hakuna cha Mwendazake wala nini. Tena Kipindi chake kivuko cha Mv Ukara kiliondoka na watu karibia 200.Zote hizo ni ajali ambazo sababu zake huwa tunamsingizia Mungu. Nchi ina watu wa hovyo sana hii. Imagine watu wanajipanga barabarani kushabikia akina Sauli na New force wakipambana barabarani kwa mwendokasi huku trafiki , viongozi wapo.Kwa mwendazake iliwezekana kupunguza ajali, kwa Sasa zimepamba moto duhh!