Video: ANC kumpigia Julius Malema Magoti kwa ajili ya Serikali ya umoja

Dollar milion zote hizo kukutwa nyumbani inawezekanaje mkuu?
 
Na wengi wenye uelewa hata watu wazima wameikataa ANC iliyo ya kihunihuni. ANC imekata pumzi, hata wakati wa kampeni walionekana usoni waziwazi kuwa wamekata moto, yamepaki majivu.
 
Tanzania CCM nayo ijipange, ujifunze vyema. Hata diamonds are not forever! Na katiba mpya ndiyo siri kuu. Hiyo ndiyo itazalisha tume huru! Na ndiyo wanaposhikilia kujitoa akili na kusingizia tuanze na maridhiano!
Kwa Katiba ipi na Tume ipi?
 
Tanzania CCM nayo ijipange, ujifunze vyema. Hata diamonds are not forever! Na katiba mpya ndiyo siri kuu. Hiyo ndiyo itazalisha tume huru! Na ndiyo wanaposhikilia kujitoa akili na kusingizia tuanze na maridhiano!
Unaijua ccm au unaisikia tu? Ccm haiwezi kufika huku kote ina wataalam wa kutosha
 
Kwetu sisi tutakuja kuishia kwenye civil war kama hali hii itaendelea. Tunahitaji kiongozi jasiri wa kuleta mageuzi ya kweli kisiasa,kiuchumi na kijamii.
 

Never relax around blacks.
 
Siasa kweli zitamtaka Malema.

Markets zinataka coalition ya ANC na DA.

Hapo ndipo mzozo ulipo.
ANC + DA => 60%. Mwenye akili timamu hawezi kataa kuunda serikali yenye kukubalika zaidi ya 60%.
Pia si rahisi kuongeza kwa kuwaacha 20+% ya DA wenye akili, ang'ang'anie umbumbumbu wa Malema.
Je ANC walijiandaa kwa Hilo? Japo dalili zilionekana tangu kitambo.
 
Ukosefu wa ajira,kwa vijana ndio majibu ya anguko la ANC
 
Kituo kinachofata ni Lumumba
 
Siku zote unawaza huwezi;Na kweli hutokaa uweze. Na kama huwezi,kwa nini wengine wasiweze?
 
Siasa kweli zitamtaka Malema.

Markets zinataka coalition ya ANC na DA.

Hapo ndipo mzozo ulipo.

Bado Ngoma mbichi, if we go by the current results, the ANC-EFF coalition would not be quite enough to clinch a majority without including another party, based on the latest count.

ANC- 40.19%
DA- 21.80%
MK- 14.58%
EFF- 9.50%

Jana 01/06/24 MK Spokesperson Nhlamulo Ndhlela ametoa tamko rasmi "We want a total revote,” akiwa kwenye results centre, minutes before an electoral commission news conference was due to start.
Ifahamike kwamba, mpaka sasa kuna biwi la hofu limejengeka likihusisha fujo, zitakazo tokana na wafuasi wa MK-Party. Previously these supporters rioted and looted for days when Musholozi was arrested for contempt of court in 2021 – reject the results.

Let's wait for today's final and conclusive official announcement by the SA Electoral Commission.
 
Kule kwao hakuna UDP wala ADC vyama vya Lumumba😂😂😂
 
Hiyo nchi imeoza chini ya utawala wa ANC.

Bora wangewarudisha Makaburu
 
Mbona ni pesa ndogo!
 
Malema akikataa au akawawekea masharti magumu ambayo hawatayaweza itakuwaje? Itabidi tu uchaguzi urudiwe.

Na huyo mzungu wa DA unayembagua shida yake ni rangi ya ngozi tu lakini ana roho nzuri kuliko wakoloni weusi wa ANC. Anyway, let us wait and see what will happen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…