Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

Sioni kosa la madereva wa Mwendokasi.Kwa hili kabisa unaona kama mwenye bodaboda alitoka kule kwa kasi bila hata kufunga breki kuangalia pande zote,lakini akaona ni kupita tu.
 
Haya mabasi ya mwendokasi yatatumaliza watanzania au ndiyo kafara za wachina

Jamani me napendekeza huu mladi ustopishwe tutumie Daladala pekee
Nikadhani utasema boda zipigwe stop maana ndizo zinazomaliza watu.


Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Mwendokasi pamoja na mapungufu yao yote ila huwa wapo makini sana madereva Hasa kuwakwepa Hawa boda wapumbavu.
 
Huyo Boda kazingua, huwezi kwenda moja kwa moja penye kona kwa speed. Alitakiwa apunguze aone kama kuna usalama ndio apite yeye hajapunguza hata kama alikuwa makini.

Njia niliyopitishwa haikuwa na kona kali kama ile ya yule Boda
 
Unachojaribu kukitetea hakileti mantiki hata kidogo, ndio maana kuna sheria za barabarani
 
Kuna ile lawama wanatoaga watu kwa abiria "kwanini anakubali" "kwanini akumwambia asipite" watu wanasemaga hivyo hua hawana Common Sense

Mfano kama hapo walipogogwa sehemu ambapo ilibidi dereva achukue uamzi wa kusimama kwanza na kuachukua uamzi wa kupita hivyohivyi ni JUST SECONDS ni swkunde kadhaa tu yaani hata abiria ustuke Hey simama angalia kwanza hio kauli inaisha ushaivuka balabala kitambo kama atari ishatokea.
 
Haya mabasi ya mwendokasi yatatumaliza watanzania au ndiyo kafara za wachina

Jamani me napendekeza huu mladi ustopishwe tutumie Daladala pekee
Basi la mwendokasi halina kosa maana liko kwenye njia yake maalum.

Watumiaji wengine wanatakiwa wawe makini kwenye makutano; hasa sehemu ambayo hakuna taa za kuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…