GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

1753869023486.png

 
Haya yote yana mwisho wake
Mwisho wa nini wakati mnaona kabisa hapo jamaa ni mkaidi? ilitakiwa askari ambembeleze yeye kama nani!?
Machadema akili zenu ni kama matapishi vile, ujinga ujinga tu..!!

Mwambieni aache ukaidi vinginevyo ataumia. Mtu yupo chini ya ulinzi ana-act kama yupo na nyanyaake huko kijijini??
 
Back
Top Bottom