LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
Inasikitisha Sana kwa kweli...Wakuu!
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.
Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.