GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtu aliyekuwa anapuuzia kuvaa barakoa anasema ni kama titi la mwanamke na ugonjwa haupo utamuonea huruma ilhali alikuwa kwenye kundi hatarishi kutokana na wimbi la Covid -19?
Kwahy alikufa JPM pekee Tz nzima?
 
Kwahy alikufa JPM pekee Tz nzima?
Unajua kusoma kwa ufahamu?

Kuna mahali hapo nimetaja "watanzania"?

Mimi nimmetaja Magufuli as an individual aliyekuwa mgonjwa wa atrial fibrillation halafu hachukui hatua kujikinga badala yake anahamasisha watu kutochukua tahadhari ilhali yeye alikuwemo katika makundi hatarishi.
 
Kwahy hao wngn wote waliochukua hatua hawakufa?
 
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Hawajui kama ndiyo wanasadia kuelezea historia yake!
 
Kwahy hao wngn wote waliochukua hatua hawakufa?
Unaniuliza mimi tena hujui kuwa Magufuli alizuia utoaji takwimu za maambukizi na vifo vitokanavyo na Covid 19 tangu May 2020 .

Mara ya mwisho kutoa ripoti record ilikuwa maambukizi 500+ na vifo 21 , maana yake zuio hilo watu hawakuruhusiwa kuripoti chochote kuhusu ugonjwa huo zaidi ya yale mapambio ya nyungu za kina Mollel na Doroth Gwajima.

Jisome hapo usiwe mvivu na kilaza kama yule wakili wa serikali kwenye kesi ya Lissu.

Nilitaka kushangaa, Lucas Mwashambwa aandike vizuri about lisu no way
Nitaandikaje vizuri kuhusu lissu wakati simpendi hata kidogo. Namshangaa huyo amejiunga Leo na kutumia ID ya kuelekeana na mimi. Sasa sijui amekosa Majina yake? Watu wengine wana matatizo mpaka kichwani mwao.
 
Back
Top Bottom