GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Hao wajela jela wanasumbuliwa na stress za maisha tu
 
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Ndo maana maaskar weng mwisho wao uwa mbaya...unajtaftia laana kisa kumfraisha mtawala
 
Nawenyewe wanapata mahala pa kuongelewa...huu ujinga Samia anaona.sifa ila akae akijua atalipwa.
 
#tutashitakiwa miga
Kwa kauli hiyo Lissu aliona mbali na alikuwa sahihi sana sana.

Tanzania imeshtakiwa mara nyingi na kulazimika kulipa fidia za mabilioni mengi ya pesa za walipa kodi kwa wageni, kutokana na ukosefu wa umakini kwenye mikataba ya hovyo kati ya serikali na wawekezaji...

Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Hafu uje unambie mtanzania ana amani?? Hata wana CCM wanaumizwa na hivi vitendo sema hawana cha kufanya ila time is a rational judge
 
Hao ni wa kusamehe tu, maisha duni familia zao duni hata ukiangalia mishahara yao ni huzuni kubwa sana kwa kweli.
 
Hakuna watu washamba kama askari, usikute huyo lissu anapambania mpaka maslahi yao ya baadae.

Wao kazi kukaa na kutumika kama zile toilet paper 🧻
 
nafikiri ni isivyo bahati ndugu

jeshi la polisi wako vizuri sana kiutendaji
 
Back
Top Bottom