GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyumbu wa chadema mpo wengi ila mnaishia kupiga mikwara nyuma ya keyboard hata kuandamana hamuwezi majizi ya Ccm yatamsulubu sana huyo kiongozi wenu hadi muache unyumbu
Toka Baba yako mzazi akulawiti mbele ya Dada zako akili hazijawi rejea.
niliona uzi flan unaomba serikali ijenge shule kijijini kwenu badala kushauri ujengewe rehabilitation centres.
 
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Kumbe ndio maana wanavaa kama magaidi ili wasionekane?
 
Salaam Wakuu,

Jana baada ya kuahilisha kesi yake. Askari Magereza alimsukuma kwa nguvu Tundu Lissu wakati akishuka kwenye ngazi za kwenye kizimba cha Mahakamani na kumuangusha chini.
Watu wako sharp sana. Walishapost jina na simu ya huyu askari aliefanya hivi, picha zake na mke wake, na mtoto wake hadi shule anayosoma. Walishaeleza alifeli form four akauza mituba kabla ya kufanyiwa connection ya kuingia Magereza. Na sasa huenda kuna watu wanamtafuta ali na yeye ajue uchungu wa kufanyiwa matendo mabaya

Hiyo thread ilishaondolewa lakini ujumbe ulishafika, huenda watu wako kazini. Alale macho huyo bwana Moses.
 
Kipi kinakusumbua!!
Mkuu Niko so stressed tangu juzi yalipotoka majina ya watia Nia na familia ya KIKWETE kujitwalia utukufu Kwa nguvu,haikuishia hapo Jana Nilipoona video ya LISSU akinyanyaswa Kwa kusukumwa na askari magereza kiukweli kichwa changu hakiko sawa... Sioni future kwenye nchi yangu pendwa TANZANIA
 
Watu wako sharp sana. Walishapost jina na simu ya huyu askari aliefanya hivi, picha zake na mke wake, na mtoto wake hadi shule anayosoma. Walishaeleza alifeli form four akauza mituba kabla ya kufanyiwa connection ya kuingia Magereza. Na sasa huenda kuna watu wanamtafuta ali na yeye ajue uchungu wa kufanyiwa matendo mabaya

Hiyo thread ilishaondolewa lakini ujumbe ulishafika, huenda watu wako kazini. Alale macho huyo bwana Moses.
Dah,
Mwenye hizo taarifa angepost kule X ingependeza, kama walivyo post taarifa za yule policcm, mdogo wake Kangi Lugola alipopiga marungu walioenda kusikiliza kesi ya Lissu Kisutu
 
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Lissu aache ubabe mahakamani
 
hizi kazi ndo maana sikuwahi kuzipendaga,wazazi wako wanakuzaa na akili timamu ila ukishajiunga na hii kazi akili yako inakuwa MAVI MATUPU
 
Wamejua kumfurahisha bosi wao...haishangaz maana wamewahi kufanya yasiyoelezeka nadhani hata askar wa wakoloni hawakufanyaga!
 
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Amini nakuambia hao askari hapo akitokea muhuni mmoja ajapiga shaba juu wote wataenda vyumbn kujifungia
 
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Watu wanakwenda na muda hawataki kupotezewa muda na mambo ya kipuuzi
 
Back
Top Bottom