GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuwa kiongozi wa Chadema ni kazi ngumu sana kwasababu wanachama ni zaidi ya Nyumbu , kutwa mtandaoni wanasema wako nyuma yako ila ni nyumbu watupu wanaweza kuwa wapo hata 500 ila kitoto cha paka kikitokea wanasambaa kwa kutoka mbio wote kwa uoga.

Majizi ya Ccm yatatamtesa sana Lissu kwasababu ana wafuasi wenye tabia za kinyumbu
Nyumbu ni ccm kwani mbugani nyumbu ni wengi kama ccm walivyikuwa wengi lakini hawajaamka na kujua kuwa pesa inayopigwa kuliwa na mbowe na chawaccm kwa sasa kwa kazi haramu za kishetani kuihujumu kuididhoofisha chadema ni nyingi kuliko ambayo inapelekwa kwenye maendeleo ambapo maendeleo yangeisaisia ccm kupata kura pasipo kuwanyanyasa kuwaua kuwateka kuwabambikia kesi za uongo chadema
 
Ibilisi wa ccm wanatafuna kula vibaya pesa za walipa kwa njia haramu za kishetani ikiwemo kuingia gharama kuwapakata kuwalea kuwalisha kuwagharamia kila kitu chauma ubwabwa, watesi wote ikiwemo Polisiccm magerezaccm, Mbowe, chawaccm na ibilisi wote wanaojitokeza kusaidia kuidhoofisha chadema , ni aina mpya ya ufisadi wa pesa za umma, hiyo pesa laiti ingekuwa imeelekezwa kwenye maendeleo mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi Tajiri yenye maendeleo kama Singapore au German na isingekuwa inahaha kupata kura kwa kuwatesa kuwaua kuwateka kuwabambikia kesi za uongo chadema
 
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Nijambo la kusikitisha kuona miaka 65 baada ya uhuru bado nchi inaongozwa na wajinga wa kiwango hiki. Yaani wajinga wanamtesa anaye watetea . Huku anaye watesa akiwa nachekelea wajinga wanavyo pendwa kuteswa na umasikini wa kutengenezwa. Yaani jaji anaona kazi yake ni mhim kuliko uhuru wake. Polisi wanaona mishahara ya laki mbili ni mhim kuliko uhuru wao. Mawakili wa serikali wnaona ni bora kujifanya wajinga wamtese mtu ili tu wapate elfu 50 za posho. Nyerere alitudanganya sana . ALISEMA ANAPIGANIA UHURU ILI APAMBANE NA MAADUI WA tatu. UJINGA ,MARADHI, na UMASIKINI , cha kushangaza maadui hao wameongezeka mara Mia kuliko hata kipindi cha mkoloni.. siku hizi tunawajinga wenye PHD. Hakuna ujinga wa kipumbavu kama wa kumtesa binadam mwezako kwaajiri ya vitu vilivyo tengenezwa na binadamu.
 
Ibilisi wa ccm wanatumia pesa nyingi kuwatesa chadema badala ya kuzitumia kuleta maendeleo
 
Nijambo la kusikitisha kuona miaka 65 baada ya uhuru bado nchi inaongozwa na wajinga wa kiwango hiki. Yaani wajinga wanamtesa anaye watetea . Huku anaye watesa akiwa nachekelea wajinga wanavyo pendwa kuteswa na umasikini wa kutengenezwa. Yaani jaji anaona kazi yake ni mhim kuliko uhuru wake. Polisi wanaona mishahara ya laki mbili ni mhim kuliko uhuru wao. Mawakili wa serikali wnaona ni bora kujifanya wajinga wamtese mtu ili tu wapate elfu 50 za posho. Nyerere alitudanganya sana . ALISEMA ANAPIGANIA UHURU ILI APAMBANE NA MAADUI WA tatu. UJINGA ,MARADHI, na UMASIKINI , cha kushangaza maadui hao wameongezeka mara Mia kuliko hata kipindi cha mkoloni.. siku hizi tunawajinga wenye PHD. Hakuna ujinga wa kipumbavu kama wa kumtesa binadam mwezako kwaajiri ya vitu vilivyo tengenezwa na binadamu.
Pesa inayotumika kufanya uonevu manyanyaso utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo na vitendo haramu vya kishetani ni nyingi kuliko inayoelekezwa kwenye maendeleo
 
Mbowe sasa anakula mabilioni tokea Lisu apelekwe jela, uwepo la Lisu jela ni ulaji kwa ibilisi ccm na chawaccm
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.

#tutashitakiwa miga
LOOooh!
Mkuu 'Maswa'; wewe unawalaumu walio shanglia". Walio tenda je?

Mtu kama Tundu Lissu angeshangilia (ingawaje hakufanya hivyo); hilo lingekuwa jambo la kushangaza watu kweli?

Wewe hapa unashindana na mizoga kdhaa kushangilia Samia na GENGE lake; wewe tukueleweje; kwamba hao ndio walio sikitikia sana kuondoka kwa shujaa wako? Bila shaka watakuwa wanakucheka sana wakiwa mafichoni kwao!
 
Askari magereza hawa walipewa maagizo ya kumbana Tundu Lissu; baada ya kule mwanzo kuonekana kuwa Tundu Lissu alikuwa anaitumia nafasi hiyo kupitishia ujumbe kwa waTanzania.

Hata hili la kujitetea mwenyewe mahakamani naona hawakulitegemea; vinginevyo wasinge ruhusu video hizo mahakamani ziwafikie waTanzania.

Ni fursa nzuri sana waliyompa Tundu Lissu bila kuitegemea ingekuwa hivyo.
Na lLissu ameitumia vizuri sana.
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.

#tutashitakiwa miga

Magufuli alikosea sana kwa kusikiliza ushauri wa Wasaidizi wake akiwemo Makamu wake aliyekua anatumiwa na Mabeberu kuua Demokrasia kwa kuua watu wasio.
Japo Magufuli kama Mkristo alijutia sana na kubadilika baada ya kujua kuwa kuna wauaji wakubwa ndani ya CCM wanaoua kwa manufaa yao ili kulinda mali zao na madaraka ya familia zao.

Iko siku tutajua ni kwa nini waliotaka kumpindua Nyerere kijeshi waliachiwa na kutoka gerezani mapema tu baada ya Mzanzibar kuingia madarakani.
Leo Mzanzibari anamfunga Mtanganyika kwa kosa la kufanya mikutano nchini kwake Tanganyika kisheria na kisiasa kuwaelimisha Watanganyika juu ya haki zao bila kutumia jeshi wala vurugu .

Mzanzibari Bahresa kutajirikia Tanganyika kwa kasi kubwa sana na viwanda vya NMC kufa na meli za serikali kufa . Bani aliua mitambo ya serikali ya kusafishia mafuta ili Matajiri wachache watumie soko kubwa la Tanganyika kuwanyonya watanganyika kwa bei kubwa ya mafuta kuliko nchi zisizo na bandari.
Iko siku tutajua ni kwa nini Nyerere alizimika kama mshumaa kwenye mvua. Nani alikua na hofu ya uhai wa Nyerere ili kuweza kuipiga photo copy CCM. Nani alikua na hofu ya uhai wa Sokoine.
Iko siku tutajua kuwa ni nani alikua na hofu ya uhai wa Mkapa.
Ipo siku tutajua nani alinifaika na bifu za kibiashara na hatimaye kifo cha Mengi. Kwa nini Wazanzibar na Waarabu na wahindi na baadhi ya waislam walikua wanamchukia Mengi jambo linalojirudia kwenye utawala wa Mzanzibar kuuza rasilimali za Tanganyika na kutaka kumuua Tundulisu .

Iko siku tutajua ni kwa nini Samia alisema kuwa kuwa Hata mkipiga kura atatangazwa wa CCM lakini kubwa zaidi akasema serikali yake ikimlenga mtu risasi haimkosi na leo amethibitisha kwa mamia ya watu kutoweka (Labda wamekengwa bila kukoswa )

Ipo siku tutajua nani alikua na hofu na uhai wa Bernad Membe.

Ipo Siku tutajua nani alikua na hofu na uhai wa Ndesamburo kwenye siasa za ukanda wa Kaskazini na siasa za chadema huku Mwenyejiti wake akiwa rafiki wa karibu na Awamu ya suta na adui wa awamu ya tano iliyofutwa na kuundwa ya sita .

Iko siku tutajua nani alikua na hofu ya kuona Maalim Seifu anaishi .
Ipo siku tutajua nani alikua na hofu ya Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha wakati alipandisha uchumi wa nchi na kuzuia matumizi holela ya serikali . Kwa nini apewe umakamu wakati tunaambiwa na awamu ya sita kuwa uchumi ulikua mbaya wakati wa awamu ya tano!

Iko siku tutajua ni kwa nini Loliondo imekua ni nchi ya Kiarabu katikati ya Tanganyika kwenye Masai Land .

Iko siku tutajua njama ya kutaka kuwahamisha Wahazabe inafanywa na nani kwa manufaa ya nani ?

Iko siku tutajua nani alifadhili vijana wa kiislam kujiunga na ugaidi kule Tanga ,Rufiji , Mkuranga n.k mpaka wakaanza kuteka vituo vya polisi wakati Palikua na serikali .
Iko siku tutajua nani alihusika kudhoofisha afya ya Lowasa na Mrema na kifo cha Imrani Kombe kuelekea uchaguzi wa 1995.
Iko siku tutajua nani alimuua Dr. Mvungi.
Iko siku tutajua nani alimtuma Paulo Christian Makonda Kwenda kumpiga Makonda Hadharani bila kuchukuliwa hatua na baadae kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya kwa kumpiga Waziri mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu . Tulitegemea mtu aliyempiga Makamu wa Rais na waziri mkuu mstaafu angekua leo ni kilema lakini leo hii ndio anaonekana hazina kubwa sana kwa watawala wa CCM tena Wazanzibari ambao wameonekana kuihujumu Tanganyika kwa kiwango kikubwa kwa maslahi binafsi.

Iko siku tutajua ni kwa nini familia za baadhi ya Walioshika Urais zinajilimbikizia mali nyingi sana na kurthisha watoto wao Madaraka lakini nyingine zilikua tishekeni na mishahara yenu ?
Iko siku tutajua ile kauli ya watu wazuri hawafi iliyotolewa na kiongozi wa juu wa chama . Je, huo uzuri ni upi na hao wabaya ni akina nani na mifano ya wabaya kufa aliwalenga akina nani ?

Iko siku tutajua ni kwa nini Wazanzibari wanajaribu kuufuta Ukristo Tanzania nzima wakati hata waarabu enzi za Sultani hawakuufuta .!!!

Iko siku tutajua ni nani anayeinjinia mauaji ndani ya CCM na hata nje ya CCM na ni nani ananufaika na mauaji na utekaji.

Ipo siku tutajua ni nani wanafadhili na kufanya njama za kidini zinazoendelea kuhujumu kanisa na watetezi wa Wanyonge katika nchi ya Tanganyika .


Auae kwa upanga atakufa kwa upanga .
Auae kwa. sumu atakufa kwa sumu .

Muda utaongea .
 
Yaani mbunge mmoja aliyechaguliwa halafu mijamaa eti bado tu inajiita chama kikuu cha upinzani bila haya, upuuzi mtupu😂
Mpuuzi ni wewe usiyeona kuwa hakuna uchaguzi huru na haki, nyie ibilisi wa ccm mlichaguliwa na nani? Kuna mpenda haki humchagua mbunge wa ccm? Chadema huwatetea magarezaccm kokote mda wote hata nje ya Bunge haramu la uchakachuaji
 
Askari magereza hawa walipewa maagizo ya kumbana Tundu Lissu; baada ya kule mwanzo kuonekana kuwa Tundu Lissu alikuwa anaitumia nafasi hiyo kupitishia ujumbe kwa waTanzania.

Hata hili la kujitetea mwenyewe mahakamani naona hawakulitegemea; vinginevyo wasinge ruhusu video hizo mahakamani ziwafikie waTanzania.

Ni fursa nzuri sana waliyompa Tundu Lissu bila kuitegemea ingekuwa hivyo.
Na lLissu ameitumia vizuri sana.
Video haziruhusiwi mahakamani isipokuwa watu huzipiga kwa Siri kubwa kuonyesha manyanyaso ya magerezaccm
 
Back
Top Bottom