Magufuli alikosea sana kwa kusikiliza ushauri wa Wasaidizi wake akiwemo Makamu wake aliyekua anatumiwa na Mabeberu kuua Demokrasia kwa kuua watu wasio.
Japo Magufuli kama Mkristo alijutia sana na kubadilika baada ya kujua kuwa kuna wauaji wakubwa ndani ya CCM wanaoua kwa manufaa yao ili kulinda mali zao na madaraka ya familia zao.
Iko siku tutajua ni kwa nini waliotaka kumpindua Nyerere kijeshi waliachiwa na kutoka gerezani mapema tu baada ya Mzanzibar kuingia madarakani.
Leo Mzanzibari anamfunga Mtanganyika kwa kosa la kufanya mikutano nchini kwake Tanganyika kisheria na kisiasa kuwaelimisha Watanganyika juu ya haki zao bila kutumia jeshi wala vurugu .
Mzanzibari Bahresa kutajirikia Tanganyika kwa kasi kubwa sana na viwanda vya NMC kufa na meli za serikali kufa . Bani aliua mitambo ya serikali ya kusafishia mafuta ili Matajiri wachache watumie soko kubwa la Tanganyika kuwanyonya watanganyika kwa bei kubwa ya mafuta kuliko nchi zisizo na bandari.
Iko siku tutajua ni kwa nini Nyerere alizimika kama mshumaa kwenye mvua. Nani alikua na hofu ya uhai wa Nyerere ili kuweza kuipiga photo copy CCM. Nani alikua na hofu ya uhai wa Sokoine.
Iko siku tutajua kuwa ni nani alikua na hofu ya uhai wa Mkapa.
Ipo siku tutajua nani alinifaika na bifu za kibiashara na hatimaye kifo cha Mengi. Kwa nini Wazanzibar na Waarabu na wahindi na baadhi ya waislam walikua wanamchukia Mengi jambo linalojirudia kwenye utawala wa Mzanzibar kuuza rasilimali za Tanganyika na kutaka kumuua Tundulisu .
Iko siku tutajua ni kwa nini Samia alisema kuwa kuwa Hata mkipiga kura atatangazwa wa CCM lakini kubwa zaidi akasema serikali yake ikimlenga mtu risasi haimkosi na leo amethibitisha kwa mamia ya watu kutoweka (Labda wamekengwa bila kukoswa )
Ipo siku tutajua nani alikua na hofu na uhai wa Bernad Membe.
Ipo Siku tutajua nani alikua na hofu na uhai wa Ndesamburo kwenye siasa za ukanda wa Kaskazini na siasa za chadema huku Mwenyejiti wake akiwa rafiki wa karibu na Awamu ya suta na adui wa awamu ya tano iliyofutwa na kuundwa ya sita .
Iko siku tutajua nani alikua na hofu ya kuona Maalim Seifu anaishi .
Ipo siku tutajua nani alikua na hofu ya Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha wakati alipandisha uchumi wa nchi na kuzuia matumizi holela ya serikali . Kwa nini apewe umakamu wakati tunaambiwa na awamu ya sita kuwa uchumi ulikua mbaya wakati wa awamu ya tano!
Iko siku tutajua ni kwa nini Loliondo imekua ni nchi ya Kiarabu katikati ya Tanganyika kwenye Masai Land .
Iko siku tutajua njama ya kutaka kuwahamisha Wahazabe inafanywa na nani kwa manufaa ya nani ?
Iko siku tutajua nani alifadhili vijana wa kiislam kujiunga na ugaidi kule Tanga ,Rufiji , Mkuranga n.k mpaka wakaanza kuteka vituo vya polisi wakati Palikua na serikali .
Iko siku tutajua nani alihusika kudhoofisha afya ya Lowasa na Mrema na kifo cha Imrani Kombe kuelekea uchaguzi wa 1995.
Iko siku tutajua nani alimuua Dr. Mvungi.
Iko siku tutajua nani alimtuma Paulo Christian Makonda Kwenda kumpiga Makonda Hadharani bila kuchukuliwa hatua na baadae kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya kwa kumpiga Waziri mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu . Tulitegemea mtu aliyempiga Makamu wa Rais na waziri mkuu mstaafu angekua leo ni kilema lakini leo hii ndio anaonekana hazina kubwa sana kwa watawala wa CCM tena Wazanzibari ambao wameonekana kuihujumu Tanganyika kwa kiwango kikubwa kwa maslahi binafsi.
Iko siku tutajua ni kwa nini familia za baadhi ya Walioshika Urais zinajilimbikizia mali nyingi sana na kurthisha watoto wao Madaraka lakini nyingine zilikua tishekeni na mishahara yenu ?
Iko siku tutajua ile kauli ya watu wazuri hawafi iliyotolewa na kiongozi wa juu wa chama . Je, huo uzuri ni upi na hao wabaya ni akina nani na mifano ya wabaya kufa aliwalenga akina nani ?
Iko siku tutajua ni kwa nini Wazanzibari wanajaribu kuufuta Ukristo Tanzania nzima wakati hata waarabu enzi za Sultani hawakuufuta .!!!
Iko siku tutajua ni nani anayeinjinia mauaji ndani ya CCM na hata nje ya CCM na ni nani ananufaika na mauaji na utekaji.
Ipo siku tutajua ni nani wanafadhili na kufanya njama za kidini zinazoendelea kuhujumu kanisa na watetezi wa Wanyonge katika nchi ya Tanganyika .
Auae kwa upanga atakufa kwa upanga .
Auae kwa. sumu atakufa kwa sumu .
Muda utaongea .