GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwisho wa nini wakati mnaona kabisa hapo jamaa ni mkaidi? ilitakiwa askari ambembeleze yeye kama nani!?
Machadema akili zenu ni kama matapishi vile, ujinga ujinga tu..!!

Mwambieni aache ukaidi vinginevyo ataumia. Mtu yupo chini ya ulinzi ana-act kama yupo na nyanyaake huko kijijini??
Ivi kweli we' ni Mtanzania unayeishi hapa nchini na unayeona hali tuliyo nayo wananchi tuli wengi.....
Kwanza kuna kukata tamaa, ambayo ni hali inayojionyesha waziwazi kwa kukosa 1) Siasa safi
2) Uongozi bara
3) Rushwa na Umasikini unaozidi kututafuna kila Uchwao.....
 
Aliyemsukuma akili hana,
Hivi anajua kuwa mtu akishapata majeraha mwili wake unakuwa spana mkononi akidondoka ni hatari sana!
Alaanike yeye na kizazi chake shetani huyo.
Mimi si fan wa Lissu ila nikiwa kama binadamu ninayejua uchungu wa majeraha ..huyo shetani Mungu atamjibu tu.
Wakuu!

Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa mbele yake.

Lissu angeweza kuanguka na kupata madhara makubwa akiwa Mahakamani.

Kwaiyo Wazungu wamesemaje baada ya kujua ilo.
 
Mwisho wa nini wakati mnaona kabisa hapo jamaa ni mkaidi? ilitakiwa askari ambembeleze yeye kama nani!?
Machadema akili zenu ni kama matapishi vile, ujinga ujinga tu..!!

Mwambieni aache ukaidi vinginevyo ataumia. Mtu yupo chini ya ulinzi ana-act kama yupo na nyanyaake huko kijijini??
"homo homini lupus (man is wolf to man)" Thomas Hobbes

I remember this philosopher😞
 
Askari walio chini ya Ministry of Internal Affairs akili zao Huwa ndogo sana Mara nyingi. Hawawezi kufanya reasoning ya kawaida kama tu Silaha ndogo ya kivita 🤣🤣🤣🤣 SMG (ilikohoa) robo tatu ya risasi za moto kutoka kwenye full magazine, eneo la umbali wa chini ya mita 100 kutoka legitimate target Kwa mtu Mmoja lakini bado huyo mtu amesimama mpaka Leo. Wakati wao hata Handel ya bolt tu haijawahi kuwabana 🤣🤣
Rubbish kabisa team vazi la Ugoro
 
Kama wakili mwandamizi wa serikali anatoa Boko nawao wameamua wamsukume maana sio muda anatoka
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.

#tutashitakiwa miga

Sikiliza wewe chawa wa Mama Abdul, Magufuli ndio alikuwa na laana. Alikufa kifo Cha aibu hata watoto wake hawakujua amekufa walipata taarifa kwa Millard Ayo.
 
Back
Top Bottom