Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Magufuli Alishapita sasa Tusongembele acha ndoto za kimagufuliLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Hiyo ya laana ya kushangilia hicho kifo itatupata wananchi wote kwakuwa hakuna ambaye akushangilia .Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Hamna kitu kama hicho.Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Kama ni kushangilia,Samia na Kikwete walishangilia zaidi,lakini si unaona wanavyotutesa zaidi hata ya MagufuliLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Huyo jambaz magufuli nani mwenye laana?amemjarbu kumwua lisu kafa mwenyewe.bdo mtaisha na laana yenuLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Laana unaijua wewe?Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli inawatafuna.
#tutashitakiwa miga
Mwisho wa nini wakati mnaona kabisa hapo jamaa ni mkaidi? ilitakiwa askari ambembeleze yeye kama nani!?Haya yote yana mwisho wake