GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Video haziruhusiwi mahakamani isipokuwa watu huzipiga kwa Siri kubwa kuonyesha manyanyaso ya magerezaccm
Sikuelewi mkuu 'funza'.
Mimi nilidhani kesi inaendeshwa laivu kwenye chaneli ya Mahakama ili wasioweza kuwa mahakamani na wao waone kinacho endelea?
 
Nyerere alipewa uhuru kwa mazungumzo kutoka kwa mwingereza
ila mtu mweusi kuachia madaraka kwa mazungumzo hawezi
 
Vyote vilishajulikana mapema na baya ni lile la kuidhoofisha chadema kuwabambikia kesi za uongo kuwatesa kuwanyanyasa kuwaua kuwateka na sasa kumtumia Mbowe kuihujumu chadema kuchukua wanachama wa chadema kuwauzia ccm na wao kuwasokomeza chauma ubwabwa chama chawaccm, Pesa inayotumika kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi kuliko inayopelekwa kwenye maendeleo
 
Sikuelewi mkuu 'funza'.
Mimi nilidhani kesi inaendeshwa laivu kwenye chaneli ya Mahakama ili wasioweza kuwa mahakamani na wao waone kinacho endelea?
Watesi ccm wanajua ile si kesi ni uonevu mtupu ni manyanyaso kwa Lisu ndiyo maana magerezaccm huficha sura zao, uwezo wa live ni live gelesha ya ibilisi wa ccm lakini watu wengine hawaruhusiwi kupiga picha wala video
 
Lisu anaonewa sana na mojawapo wanakazania uonevu zaidi ni Freeman Mbowe kwani anatamani Lisu afie Jela ili arejee chadema kwa njia haramu za kishetani kama Professor Lipumba alivyorejea CUF kipindi cha magufuli
 
Watesi ccm wanajua ile si kesi ni uonevu mtupu ni manyanyaso kwa Lisu ndiyo maana magerezaccm huficha sura zao, uwezo wa live ni live gelesha ya ibilisi wa ccm lakini watu wengine hawaruhusiwi kupiga picha wala video
Basi sawa. mimi sikuwa namaanisha hizo video zisizo ruhusiwa. Nilikuwa na maana ya hizo za mahakama yenyewe.
 
Hao askari tatizo ni form four failure ukute ana zero kichwani huyo hiyo akili ya kutambua kama Lissu anavyuma atapata wapi?Hawajifunzi tu kwa Hichilema?
 
Hao askari tatizo ni form four failure ukute ana zero kichwani huyo hiyo akili ya kutambua kama Lissu anavyuma atapata wapi?Hawajifunzi tu kwa Hichilema?
Ndio maana waliamua kuchukua Dv. IV ya mwisho ndio waingie katika majeshi. eti unamsukuma lissu, hadi aibu. watu wanatafuta umaarufa kupitia kesi ya lissu hadi wanaficha eti sura zao
 
Salaam Wakuu,

Jana baada ya kuahilisha kesi yake. Askari Magereza alimsukuma kwa nguvu Tundu Lissu wakati akishuka kwenye ngazi za kwenye kizimba cha Mahakamani na kumuangusha chini.

Hali hiyo imemletea Maumivu na kuamsha Matatizo kwenye Mwili wake. Sasa anaugulia maumivu.

Kumbuka Tundu Lissu anatembea na risasi Mgononi huku Mguu wake akiwa sio imara kutokana na risasi alizopigwa mwaka 2017.

Nani alaumiwe?
Your browser is not able to display this video.
 
Nyumbu wa chadema mpo wengi ila mnaishia kupiga mikwara nyuma ya keyboard hata kuandamana hamuwezi majizi ya Ccm yatamsulubu sana huyo kiongozi wenu hadi muache unyumbu
 
Nyumbu wa chadema mpo wengi ila mnaishia kupiga mikwara nyuma ya keyboard hata kuandamana hamuwezi majizi ya Ccm yatamsulubu sana huyo kiongozi wenu hadi muache unyumbu
Daaaaah
 
Nyumbu wa chadema mpo wengi ila mnaishia kupiga mikwara nyuma ya keyboard hata kuandamana hamuwezi majizi ya Ccm yatamsulubu sana huyo kiongozi wenu hadi muache unyumbu
Wako masai mara sasa 😂😂
 
Mpuuzi ni wewe usiyeona kuwa hakuna uchaguzi huru na haki, nyie ibilisi wa ccm mlichaguliwa na nani? Kuna mpenda haki humchagua mbunge wa ccm? Chadema huwatetea magarezaccm kokote mda wote hata nje ya Bunge haramu la uchakachuaji
Yaani wewe na akili zako kabisa unaona anayechagua kwa matakwa yake anakuwa ibilisi? Ndio maana unaitwa nyumbu wallahi.😁
 
Sisi team Magufuli tunakula pop corn tu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…