VIDEO: Askari Polisi alalamikia mishahara midogo

Yaani kwa police kilichobaki ni ubahatike uwe traffic mjini, ukusanye rushwa maisha yaende.
 
Muongo nina rafiki zangu wawili wana degree ya Computer Science,2016 wamepewa nyota baada ya kumaliza kozi na Magufuli mwenyewe.

Monduli Kozi zinafanyika kila mwaka zilisimama kipindi cha Corona,lockdown ilivyo isha wakarudi Monduli.
 
Tema mate chini poti. Wewe bado kijana mdogo,hujui dunia inavyokwenda.
 
@YEHODAYA kaa kimya mzee hakuna ukijuacho,huko polisi kuna mapuuza ambayo yanafikirisha sana.Polisi na Magereza wanabodi moja ya upandishaji vyeo ila kinachofanyika polisi ni ujinga wa kiwango cha lami,constable wa polisi elimu kidato cha 6 au diploma humchukua miaka 14 ili kuwa CPL tofauti na wajelajela ambao huchukua miaka 6-7.

Aya mtu amekaa miaka 14 anakuwa promoted cheo cha CPL ambapo cheo icho huongeza 50k au 60k kwenye mshahara[emoji23][emoji23] vuta picha miaka 14 unasubiri ongezeko kama hilo? Mwl anakuwa ndani ya hio miaka keshapanda madaraja zaidi ya 2 ambapo kila daraja lina 120k hadi 150k.Yani polisi bana wapo nyuma sana hata sioni tija ya elimu walizonazo maafisa wao wa juu(IGP,CP...)

Mimi si askari ila nayajua mengi ya polisi,nimekulia kambini.[/QUOTE]
 
Huyo askari mwanaume wangemstaafisha tu yaani miaka 27 ya kufanya kazi bado hana hata nyota ni sergent tu looo uvivu wa kusoma .Huyu anatakiwa aondolewe cheo hicho ni cha vijana wadogo tu zee zima sergent !!! Haoni aibu?
Mmewatumia kama Pedi sasa mnakuja kuwasanifu huku. CCM mna laana na mtakufa midomo isifumbe.
 
Suala la Equal Pay ni changamoto kubwa sana nchini, na hii inaonyesha mishahara ya watumishi huwa inapangwa bila kuzingatia vigezo vya uchumi🎃
Huyo kataja tu mshahara posho hajataja

Kuna uzi humu walimu wakilalamika kuwa wapewe posho kama polisi wanavyopewa
 
Tundu Lissu aliwashauri mwaka jana,ukawa upande ule ule
Unaweza kushauriwa na tapeli nawe ukakubali?
Uje ujaribu uone, hata kidogo ulichonacho kitaondoka.
Unachezea tapeli wewe?
Tundu ni tapeli saana, alimtukana lowasa na kisha akamsafisha yeye mwenyewe, na mkabaki mmeduwaa,
Bado.mnamwamini tu?

Binadamu kubeba akiri ya wanyama ni shida saana.
 
Waalimu kada inayoonewa sana. Hata boda boda anajilinganisha na mwalimu. Mjasiriamali nae anapambana kila siku ili mwisho wa mwezi nae apate kipato kikubwa au sawa na cha mwalimu. Waalimu wa Tanzagiza wanaonewa sana.
Ualimu siyo kazi ni utumwa. Mwanangu kamwe sitamruhusu akafanye utumwa huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…