VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

Kwisha habari yake, kijana bado hana maturity ya kuhandle hilo lishangingi ngoja lianze kuonesha makucha
Ngoja asajiliwe na timu ya Bernard Morrison aanze kulipwa 1.5m, hapo watagawana zilizobaki, zKi àtabeba shangazi kaja lake aende namungo hukooo.
 
Hao wenye pesa zao wanaojaribu kupunguza umiliki wa vitu used wafanye hivyo kwenye maisha yao na si maisha ya mwanaume mwenzao na hata hawajamsaidia lolote kufanikisha yeye kuwa hapo alipo leo zaidi ya kupiga mdomo. Nadhani tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu wengine, hii tabia ya kunyoosheana vidole kana kwamba sisi tu wakamilifu sana haijakaa poa.
 
Mhm kwamba huyo dada ndio mrembo taifa zima ?hakuna kama yeye? Tembeeni muone asee.
Hakuna mwanamke mzuri kuzidi wote ila Hamisa ni mzuri na wapo wanaume wangependa kuwa na mwanamke wa aina yake.
 
Wakaka wengi wa jf wanazidi kusonya, wanatamani wangemmiliki Hamisa ila tatizo hawana fedha.

Unatujua au unatufananisha? We unafikiri wote tumekuja town na vipofu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…