Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

Wewe umeelewa zaidi ya alivyomaanisha mkuu..

Nimemuelewa vizuri sana tu, tena huwa namfuatilia huyu babu maana yeye hutumia ubongo ipasavyo, huwa anahoji na kuuliza maswali yenye utata huku mkimtukana sana maana wengi huwa hampo tayari kujadili hoja zaidi ya kujibu kwa matusi kila mnapobanwa.
 
UMESHA SEMA BABU!!!
Mitandao ya kijamii imeanza kutumika DUNIANI kwa mara ya kwanza miaka ya 1990
kwa hiyo ameongelea jambo ambalo hana Elimu nalo; asamehewe!

Teknolojia zote hizi zimemkuta, hivyo yeye ana uelewa mpana, nyie wengi wenu mumezaliwa na kuzikuta, hata hivyo hoja yake ni kwamba zimeletwa na makafir na kwa vile hamruhusiwi kutumia chochote cha makafir, hapo ulipo itose hiyo simu yako jalalani, hata hiyo kanzu uliyovaa utakuta kuna namna imepitia kwenye mikono ya makafir, yaani inabidi muondoke muende kwenye kisiwa chenu wenyewe...
 
Algebra
Algorithm
Camera Obscura
Mashine za maji
Automata za maji
Zana za upasuaji
Al-Tasrif (encyclopedia ya tiba)
Ramani za dunia
Globe za dunia na mbingu
Instruments za kupima nyota
Telescope
Lens
Optics ya mwanga
Canon of Medicine
Mashine za kilimo zilizoboreshwa

Nafikiri ni kutokujua tu
 
Algebra
Algorithm
Camera Obscura
Mashine za maji
Automata za maji
Zana za upasuaji
Al-Tasrif (encyclopedia ya tiba)
Ramani za dunia
Globe za dunia na mbingu
Instruments za kupima nyota
Telescope
Lens
Optics ya mwanga
Canon of Medicine
Mashine za kilimo zilizoboreshwa

Nafikiri ni kutokujua tu

Muhammad ibn Musa al-Khwarizmi alifanya the systematic process ikawa maarufu na rasmi ila kabla yake kulikua na dhana zote hizo kama vile Babylonian method for square roots (c. 1800 BCE), Euclid’s algorithm (c. 300 BCE).
Hata hivyo, siongei kuhusu nani kabuni, ila nani katengeneza, mfano hiyo simu uliyoshika hapo imetengenezwa na kafir....
 
Aya gani imekataza visitumike?
 
Kama ni hivyo asikataze mitandao ya kijamii tu hata nguo aliyovaa avue atembee uchi,
🙏
 
Aya gani imekataza visitumike?

Binafsi sijui maana hiyo sio imani yangu sifuatilii vitabu vyenu, ila nimeleta kauli ya babu ambaye mwenyewe ni muislamu.
Hata hivyo kwa kutafuta haraka tu kwenye internet nimekutana na hii
Sunan Abi Dawud 4607
Avoid novelties, for every novelty is an innovation, and every innovation is an error.
 
Hiyo hadithi kaongelea kuepuka bid'ah katika dini yao, innovation ilizungumzwa ni bid'ah katika dini yao ,wapi kasema ni teknolojia ya simu , magari na nk
 
Teknolojia zote hizi zimemkuta, hivyo yeye ana uelewa mpana, nyie wengi wenu mumezaliwa na kuzikuta, hata hivyo hoja yake ni kwamba zimeletwa na makafir na kwa vile hamruhusiwi kutumia chochote cha makafir, hapo ulipo itose hiyo simu yako jalalani, hata hiyo kanzu uliyovaa utakuta kuna namna imepitia kwenye mikono ya makafir, yaani inabidi muondoke muende kwenye kisiwa chenu wenyewe...

"Aging is a natural, automatic process, not a sign of wisdom or maturity”
 
Hiyo hadithi kaongelea kuepuka bid'ah katika dini yao, innovation ilizungumzwa ni bid'ah katika dini yao ,wapi kasema ni teknolojia ya simu , magari na nk

Mimi nimeitafsiri kama ilivyoanidkwa, hayo matafsiri mengine siyajui hata hivyo sitegemei iandikwe magari na ndege maana hayakuwepo kipindi cha huyo Mohammad, na ndio maana hata alipodai kupaa hadi sijui sayari ya huko wapi, katumia mnyama fulani hivi kupaa.
 
Back
Top Bottom