min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ndio ujue innovation ( bid'ah ) ilyokatazwa haikua na maana hiyo , huo mstari hauna tofauti na ule wa kwenye biblia wa msifugwe nira pamoja na wasioamini.Mimi nimeitafsiri kama ilivyoanidkwa, hayo matafsiri mengine siyajui hata hivyo sitegemei iandikwe magari na ndege maana hayakuwepo kipindi cha huyo Mohammad, na ndio maana hata alipodai kupaa hadi sijui sayari ya huko wapi, katumia mnyama fulani hivi kupaa.