Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

Video: Babu Seif Kisauji asema waislamu wote wanaotumia mitandao ya kijamii watakwenda motoni

huyu mzee kwa mi nilivyomuelewa ni kwamba hapa Kati kulikuwa na matamko mbalimbali ya viongozi wa dini kwamba waislamu wasile pilau ya krismas wasisherehekee mwaka mpya kwa sababu zimeanzishwa na makafiri,
Sasa yeye kaona smart phone na social media zimesahaulika kuwa nazo ni za makafiri hivyo kawakumbusha ndugu zake waislamu.
 
na ukiangalia ni kweli, reels za mitandao ya kijamii uwe ume follow au haujafollow page husika ila ukiperuzi mengi asilimia 90 utayokutana nayo niya kikafiri,
km vile mabinti kucheza nusu uchi, mashoga, Malaya lazima utakutana nayo tu,
Babu yupo sahihi
 
anachokisema ni sawa kabisa kwa imani yake,lakini keshachelewa na hawezi kudhibiti. maana hata miwani ayovaa inayomsaidi yeye kuona vizuri wametengeneza na hao anaowaita makafiri. naona hata sweta alilovaa lina rangi za kwa mbaali za zile bendera za walewale.
 
Muhammad ibn Musa al-Khwarizmi alifanya the systematic process ikawa maarufu na rasmi ila kabla yake kulikua na dhana zote hizo kama vile Babylonian method for square roots (c. 1800 BCE), Euclid’s algorithm (c. 300 BCE).
Hata hivyo, siongei kuhusu nani kabuni, ila nani katengeneza, mfano hiyo simu uliyoshika hapo imetengenezwa na kafir....
Wewe kufanya kama yeye tu unaweza?
 
Binafsi sijui maana hiyo sio imani yangu sifuatilii vitabu vyenu, ila nimeleta kauli ya babu ambaye mwenyewe ni muislamu.
Hata hivyo kwa kutafuta haraka tu kwenye internet nimekutana na hii
Sunan Abi Dawud 4607
Avoid novelties, for every novelty is an innovation, and every innovation is an error.
Hata namba ya hadith huijui ndio uweze kujua maana ya hiyo hadith?
 
Ni sawa tu , ila tafsiri yako haina ukweli wa mantiki husika , umeropoka tu kama mnywa gongo na ni haki yako kufanya hivyo🙏
Hawa wana kawaida ya kuropoka na kukurupuka na mmoja akipost utayaona na mengine yanakuja kusapoti hata kama wanajua kwamba mwenzao kaongea pumba tu
 
Una uhuru wa kutafsiri kwamba haina ukweli, ila mimi siibadilishi ilivyo, nimeitafsiri kama ilivyo na huo uhuru ninao.
Humu watu wanatoa comments kulingana na wanavyotafsiri, hivyo wewe shikilia unavyotaka kutafsiri, waachie wengine watafsiri watakavyo, usitake kuwapangia wote. Pitia comments, kuna hadi wanatukana kama ilivyo kawaida kwenye hiyo dini yenu.
Maandishi ya vitabu vitukufu hayana uhuru wa kutafsiri usishupaze shingo kaka tafuta elimu na upate tafsiri sahihi ya andiko ndio uje huku

Hicho kiswahili chenyewe kina idioms je hizo Hadith na Aya zitakosaje maneno mengi kwenye Quran na Bible yana tafsiri tofauti na yalivyoandikwa kutokana na muktadha sasa wewe unalazimisha iwe tafsiri sisisi kama mtu alioishia lasaba
 
utawasikia kula chakula cha makafiri ni dhambi:
kuolewa na makafiri ni dhambi
shehe mmoja alimaliza kabisa kwa kusema
"kuto kuwauwa Makristo na Mayahudi ni dhambi"
Hakuna kiumbe kibumbavu chini ya jua kama Allah, Muhamadi na Umma wake
 
Back
Top Bottom