Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni.
View attachment 3558059
https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
Wewe umeelewa zaidi ya alivyomaanisha mkuu..
UMESHA SEMA BABU!!!
Mitandao ya kijamii imeanza kutumika DUNIANI kwa mara ya kwanza miaka ya 1990
kwa hiyo ameongelea jambo ambalo hana Elimu nalo; asamehewe!
AlgebraTeknolojia zote hizi zimemkuta, hivyo yeye ana uelewa mpana, nyie wengi wenu mumezaliwa na kuzikuta, hata hivyo hoja yake ni kwamba zimeletwa na makafir na kwa vile hamruhusiwi kutumia chochote cha makafir, hapo ulipo itose hiyo simu yako jalalani, hata hiyo kanzu uliyovaa utakuta kuna namna imepitia kwenye mikono ya makafir, yaani inabidi muondoke muende kwenye kisiwa chenu wenyewe...
Wewe jamaa unashida sana si utulize makalio yako sasa kama kasema unawashwa nini?Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni.
View attachment 3558059
https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
Algebra
Algorithm
Camera Obscura
Mashine za maji
Automata za maji
Zana za upasuaji
Al-Tasrif (encyclopedia ya tiba)
Ramani za dunia
Globe za dunia na mbingu
Instruments za kupima nyota
Telescope
Lens
Optics ya mwanga
Canon of Medicine
Mashine za kilimo zilizoboreshwa
Nafikiri ni kutokujua tu
waislamu tafuteni ghelimu kwa gharama yoyote ile kwamaana hao walioipata hyo ghelimu watawaendesha vibaya mno..Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni.
View attachment 3558059
https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
Aya gani imekataza visitumike?Muhammad ibn Musa al-Khwarizmi alifanya the systematic process ikawa maarufu na rasmi ila kabla yake kulikua na dhana zote hizo kama vile Babylonian method for square roots (c. 1800 BCE), Euclid’s algorithm (c. 300 BCE).
Hata hivyo, siongei kuhusu nani kabuni, ila nani katengeneza, mfano hiyo simu uliyoshika hapo imetengenezwa na kafir....
SSurrat~ZubaaAya gani imekataza visitumike?
Kama ni hivyo asikataze mitandao ya kijamii tu hata nguo aliyovaa avue atembee uchi,Muhammad ibn Musa al-Khwarizmi alifanya the systematic process ikawa maarufu na rasmi ila kabla yake kulikua na dhana zote hizo kama vile Babylonian method for square roots (c. 1800 BCE), Euclid’s algorithm (c. 300 BCE).
Hata hivyo, siongei kuhusu nani kabuni, ila nani katengeneza, mfano hiyo simu uliyoshika hapo imetengenezwa na kafir....
Hakuna kitu kama hicho , binafsi sio muislamu ila mnazusha mambo tu bila kufahamu undani wakeSSurrat~Zubaa
Aya gani imekataza visitumike?
Ila kajirekodi kwenye video zilozovumbuliwa na makafiriAsema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni.
View attachment 3558059
https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
Hiyo hadithi kaongelea kuepuka bid'ah katika dini yao, innovation ilizungumzwa ni bid'ah katika dini yao ,wapi kasema ni teknolojia ya simu , magari na nkBinafsi sijui maana hiyo sio imani yangu sifuatilii vitabu vyenu, ila nimeleta kauli ya babu ambaye mwenyewe ni muislamu.
Hata hivyo kwa kutafuta haraka tu kwenye internet nimekutana na hii
Sunan Abi Dawud 4607
Avoid novelties, for every novelty is an innovation, and every innovation is an error.
Teknolojia zote hizi zimemkuta, hivyo yeye ana uelewa mpana, nyie wengi wenu mumezaliwa na kuzikuta, hata hivyo hoja yake ni kwamba zimeletwa na makafir na kwa vile hamruhusiwi kutumia chochote cha makafir, hapo ulipo itose hiyo simu yako jalalani, hata hiyo kanzu uliyovaa utakuta kuna namna imepitia kwenye mikono ya makafir, yaani inabidi muondoke muende kwenye kisiwa chenu wenyewe...
Hiyo hadithi kaongelea kuepuka bid'ah katika dini yao, innovation ilizungumzwa ni bid'ah katika dini yao ,wapi kasema ni teknolojia ya simu , magari na nk