Ndio ujue innovation ( bid'ah ) ilyokatazwa haikua na maana hiyo , huo mstari hauna tofauti na ule wa kwenye biblia wa msifugwe nira pamoja na wasioamini.Mimi nimeitafsiri kama ilivyoanidkwa, hayo matafsiri mengine siyajui hata hivyo sitegemei iandikwe magari na ndege maana hayakuwepo kipindi cha huyo Mohammad, na ndio maana hata alipodai kupaa hadi sijui sayari ya huko wapi, katumia mnyama fulani hivi kupaa.
Ndio ujue innovation ( bid'ah ) ilyokatazwa haikua na maana hiyo , huo mstari hauna tofauti na ule wa kwenye biblia wa msifugwe nira pamoja na wasioamini.
Sasa umekurupuka wewe na huyo mzee bila kupata maana ya kinaNarudia tena, nimetafsiri kama ilivyoandikwa, kila mmoja ana uhuru wa kutafsiri atakavyo, mimi nimebaki hapo ilivyoandikwa, nyie kuongeza au kupunguza mtajua wenyewe.
Sasa umekurupuka wewe na huyo mzee bila kupata maana ya kina
Ukibandika maandiko ya kwenye biblia kama yakivyo tutapoteana hapaWala sijakurupuka, nimeitafsiri kama ilivyo na kubaki kama ilivyo, nimeepuka kuongeza maana mpya au kupunguza ilvyo.
Kila mmoja anatafsiri aionavyo, kwa mfano kuna baadhi yenu hutafsiri hili andiko linaloagiza mpigane na kila asiyeamini katika hiyo dini yenu, na kweli mpo mnaojilipua mabomu na kupigana kila siku kwa kuzingatia hili andiko.
โMake war on the infidels living in your neighbourhood โ 9.123โ
Ni sawa tu ila uzi wako ni wakitoto na hauna mantikiHayo ya Biblia yafungulie nyuzi, mimi nimefungulia uzi hili la kuwakanya msitumie visivyo vya waislamu.
Mkuu Quran iko mbele ya mudaUMESHA SEMA BABU!!!
Mitandao ya kijamii imeanza kutumika DUNIANI kwa mara ya kwanza miaka ya 1990
kwa hiyo ameongelea jambo ambalo hana Elimu nalo; asamehewe!
Ni sawa tu , ila tafsiri yako haina ukweli wa mantiki husika , umeropoka tu kama mnywa gongo na ni haki yako kufanya hivyo๐Hiyo ni tafsiri yako, una uhuru wa kutafsiri utakavyo kama nilivyokuambia na mimi nimetafsiri maandiko yenu kama yalivyo.
Babu kasema ukweli mtupu๐๐Asema Waislamu hawaruhusiwi kutumia chochote cha makafir, na kwa vile hii mitandao na teknolojia zote hizi ni za makafir, hivyo wanaozitumia watakwenda motoni.
View attachment 3558059
https://vm.tiktok.com/ZS9R1jRMqEye9-PlLgb
Ni sawa tu , ila tafsiri yako haina ukweli wa mantiki husika , umeropoka tu kama mnywa gongo na ni haki yako kufanya hivyo๐
Eti surat zubaa ๐๐๐SSurrat~Zubaa