macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hamna mkakati wowote! Nakuhakikishia hamna plan yoyote! Subirini huyu Membe mnayemshabikia muone atakavyowaacha kwenye jua kali na yeye akimbilie kivulini...Nimeileta kimkakati tu , wala si lengo langu kumpeleka Membe Chadema
Sasa ni wakati gani mwanachama mpya anaaminiwa na kupewa uongozi CHADEMA?! Na anapimwa vipi kwamba hatorejea ccm au ACT?!
Sound like strategy to me....Mwenye strategy ni aliyesema nikulipe house allowance,dereva na bado umtangaze mbunge wa upinzani hiiiiiii.
Sent using Jamii Forums mobile app
You go beyond mkuu! Tunachochea moto tuu!Lazima tupige kelele tusije kurudia kosa.
Mkuu hivi unajua unacho fanya kina shida mahaliWakuu, natanguliza salamu za sikukuu, bila shaka mnasherekea kwa amani, hata hivyo pamoja na kusherehekea nimeona nisiwaache hivi hivi tu.
View attachment 1303247
Tatizo la Tanzania sio CCM kama wengi wanavyoamini bali ni watanzania wenyeweMkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Yes kwa elimu za hapa na pale hio pia ni strategy tena kali kuzidi za sun tzu.Sound like strategy to me....
Kwa ujumla upinzani umeshakata tamaa! Dalili zinaonyesha kabisa. Ukiona wanavyomshabikia Membe unajua kabisa wako kwenye panic attack na wako tayari kushika chochote kilicho mbele yao! Hawana plan, hawana strategy, wapo kusubiri muujiza ambao hautatokea.
Hapana MkuuMkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Tatizo la Tanzania sio CCM kama wengi wanavyoamini bali ni watanzania wenyewe
Hapana Mkuu
Bernard Membe anafaa sana kugombea CCM.
Jamaa wameamua kwenda na Membe 2020
Sent from my SM-A207F using Tapatalk
Tunaheshimu maoni yako hata kama sio sahihi.
Sound like strategy to me....
Hujielewi,!unadhani kwanini Ngetti ametekwa mara 4 , kwani si ccm yule ?
Mkuu Tindo, huwa unajifungia kamba ngumu sana katika misimamo yako kiasi kwamba inapobidi uilegeze ili uwe huru inakuwia ngumu sana kuilegeza.Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Bora yafanyike mapinduzi na ikibidi mfalme AFE nchi ikombolewe2020 ni Lissu Vs Magufuli na Lissu anashinda Magufuli anatangazwa kwa nguvu mataifa ya nje yanaingilia kati na jeshi linamtemesha tonge.
bado unaandika uongo ili iweje ?Hamna mkakati wowote! Nakuhakikishia hamna plan yoyote! Subirini huyu Membe mnayemshabikia muone atakavyowaacha kwenye jua kali na yeye akimbilie kivulini...