makunda na jiwe la kuzimu watakapoiona hii wanachafua boxer zao fasta kwa kihoro....Wakuu, natanguliza salamu za sikukuu, bila shaka mnasherekea kwa amani, hata hivyo pamoja na kusherehekea nimeona nisiwaache hivi hivi tu.
View attachment 1303247
Huyu jamaa wa kazi na Bata haufai
Ila mungu ameleta kipindi hiki kwa kazi maalumu, fate yake ni kutengeneza njia ya mabadiliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusalimiana ndiyo kuteta? Au hujui hata kuteta maana yake?Wakuu, natanguliza salamu za sikukuu, bila shaka mnasherekea kwa amani, hata hivyo pamoja na kusherehekea nimeona nisiwaache hivi hivi tu.
View attachment 1303247
Huyu jamaa wa kazi na Bata haufai
Ila mungu ameleta kipindi hiki kwa kazi maalumu, fate yake ni kutengeneza njia ya mabadiliko
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa mfano hapa ni kipi cha ajabu?
Membe ni CCM, na wewe ni mpinzani, unachoshangilia hapo ni kipi?
Kwamba atakuwa anateta juu ya kuitoa ccm madarakani?
Vituko vya watu wa upinzani bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo Erythrocyte ni shida ni zaidi ya nyumb! Hata hajitambui anataka nini hata uelekeo wake hajui anaenda wapi!!Hivi kwa mfano hapa ni kipi cha ajabu?
Membe ni ccm, na wewe ni mpinzani, unachoshangilia hapo ni kipi?
Kwamba atakuwa anateta juu ya kuitoa ccm madarakani?
Vituko vya watu wa upinzani bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
2020 ni Lissu Vs Magufuli na Lissu anashinda Magufuli anatangazwa kwa nguvu mataifa ya nje yanaingilia kati na jeshi linamtemesha tonge.
"Tatizo la CCM kuendelea kuwepo" unakulinganisha/fananisha na uwepo wa anayeiendesha sasa hivi? Kweli?Akigombea huko ccm sawa, nitamuunga mkono awe mgombea wa ccm ili kutuondolea hili janga lililopo, lakini sio kuwa rais, maana tatizo la ccm litaendelea kuwepo.
"Tatizo la CCM kuendelea kuwepo" unakulinganisha/fananisha na uwepo wa anayeiendesha sasa hivi? Kweli?
Ni heri kuishi ndani ya "jinamizi CCM" kuliko kuishi katika hili lililopo sana. Maana hilo 'jinamizi' angalao linakupa matumaini kwamba ukiweka juhudi zaidi kuna uwezekano wa kuliondoa hilo 'jinamizi' kablaya kuiondoa roho yako kabisa.Ielewe post yangu, Membe akichaguliwa kuwa mgombea wa ccm, automatically hili tatizo la sasa litaondoka, lakini akishinda urais bado jinamizi liitwalo ccm litaendelea kuwepo.
Membe will never become a moral or political solution to Tanzania.Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena.
Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo.
Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Ni heri kuishi ndani ya "jinamizi CCM" kuliko kuishi katika hili lililopo sana. Maana hilo 'jinamizi' angalao linakupa matumaini kwamba ukiweka juhudi zaidi kuna uwezekano wa kuliondoa hilo 'jinamizi' kablaya kuiondoa roho yako kabisa.
Mimi naiona tofauti hiyo mhimu kabisa.
anaweza kutokeza kama yohana mbatizaji ili kutengeneza njia,bila hata yeye kujua mpango wa MunguMkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena.
Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo.
Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Umeisha wavuruga kisaikolojia,Nimeileta kimkakati tu , wala si lengo langu kumpeleka Membe Chadema
Membe 2020 chadema anatosha wewe...Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena.