Ajabu ndio hio. Leo ukisema hupandi bodaboda unaonekana unakufuru! Kwani zamani tuliishi wapi na vipi bila bodaboda?Wanawake na bodaboda huwaambii kitu. Hivi zamani mbona tuliishi bila bodaboda? Kwanza zimefanya watu wengi hasa wanawake kuwa legelege kwa sababu ya kutumia baodaboda sehemu ambazo zamani walikuwa wanatembea kwa miguu.
Ngoja siku ntakupandisha boss kubwa,mzee wa vwMimi sijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitapanda bodaboda. Ni hatari bora nichelewe tu.
Ukiona boda kasuka virastaHuwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!
Gari ina inaonesha anaingia kuliaAjabu ndio hio. Leo ukisema hupandi bodaboda unaonekana unakufuru! Kwani zamani tuliishi wapi na vipi bila bodaboda?
Hata yule naye ilikuwa hiv hivi ila hayupo[emoji23]Fomu inatoka Moja tu