RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ajabu ndio hio. Leo ukisema hupandi bodaboda unaonekana unakufuru! Kwani zamani tuliishi wapi na vipi bila bodaboda?Wanawake na bodaboda huwaambii kitu. Hivi zamani mbona tuliishi bila bodaboda? Kwanza zimefanya watu wengi hasa wanawake kuwa legelege kwa sababu ya kutumia baodaboda sehemu ambazo zamani walikuwa wanatembea kwa miguu.