Video: Bodaboda asababisha Ajali

Video: Bodaboda asababisha Ajali

Wanawake na bodaboda huwaambii kitu. Hivi zamani mbona tuliishi bila bodaboda? Kwanza zimefanya watu wengi hasa wanawake kuwa legelege kwa sababu ya kutumia baodaboda sehemu ambazo zamani walikuwa wanatembea kwa miguu.
Ajabu ndio hio. Leo ukisema hupandi bodaboda unaonekana unakufuru! Kwani zamani tuliishi wapi na vipi bila bodaboda?
 
For what I know hapo hamna kifo ni majeruhi tu kwa hapo on spot
 
Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!
Ukiona boda kasuka virasta
Kafungulia mzk singeli amapiano
Kavaa ndara ,aisee usipande

Ova
 
Ajabu ndio hio. Leo ukisema hupandi bodaboda unaonekana unakufuru! Kwani zamani tuliishi wapi na vipi bila bodaboda?
Gari ina inaonesha anaingia kulia
Tena kawasha endiketa,boda anaungia hko hko
WalivyowapuZ
Mbn watumiaji wa pikipiki kubwa huw wastaarabu

Ova
 
Back
Top Bottom