Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Kuna askari polisi fulani huko Morogoro ndio ilikuwa michezo yake, anajifanya kocha wa mpira anakusanya vijana kisha anamrubuni mmoja mmoja kwa muda wake anakula matako.
 
atakuwa wa bububu huyu
 
Hii inaleta picha kua watu wana ya ajabu sana vyumbani. Vyumba na vitanda vina siri nzito
 
Dunia imeoza ujinga
 
The only Huyo jamaa amejiua lini?

Sasa wenye kuwachukia mashoga watakuwa wamefurahi sana jamaa kamua kujiua mwenyewe. Je tatizo litaosha? Waliokuwa wanamfanya wao wamechukuliwa hatua gani?
 
Hakika.
 
Umeandika point kubwa sana.

Kwanza Mwanaume na Mwanamke unapoomba video kama hiyo unataka ujifunze nini?

Serikali nayo inapaswa kutoa adhabu kali kwa wasambazaji wote wa video hizi
 
Kwaiyo siku hizi tuanze kukagua makalio ya wanaume zetu, kweli jmn???
Maana huyu ni baba kabisa wa familia, kumbe puto linapulizwaaaa mxiuuuuuu..
Maskini mkewe, pole yake...
 
Hivi kwa nini haya mambo kwa sasa yanaenea kwa kasi? Isije ikawa hatujui tatizo linaanzia wapi? Mimi nahisi vitu vifuatavyo.
1. Malezi
2. Aina ya vyakula tunavyokula hada haya mayai ya kisasa na kuku wake.
Huwezi kuta mla mihogo, viaz na bumunda akafanya huu ujinga.
3. Shule tunazopeleka watoto hasa za bweni.
4. Aina ya maisha na utandawazi.
 
Pia hizi smartphone, social medias na vinavyooneshwa huko

Kama serikali ingekuwa serious kufungia hizo porn sites na VPN kama wanavyofungia miziki mibaya na kuwakamata wote wanaosambaza video na picha hizo ingesaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…