Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Machozi ya mamba tu ila linapokuja suala la kashfa kwa imani ya Kikristo ninyi mnaongoza.

Well....siyo hoja sana tuache kama lilivyo maana limeshatokea.
 
mkuu kwann uangalie Mara 60 uchafu huo?
 
Naiomba PM tafadhari
 
Huyu afande bila kuwekwa dole huko uwani hadindi
Yani huyo hata akimduu demu ndo wale anakwambia baby nichezee na kidole huku
 
na wewe kuangalia mara nyingi unataka ugundue nini, unajichafua tu roho na nafsi,macho ni mlango wa kuingiza hisia chafu na hizo ni nafsi kamili kabisa zinatembea kwa kuona tu kuna watakaotaka kujaribu ili waone wenzao wanapata nini.

Acha kuangalia uchafu.
 
Tunahatiji waombaji, na tunahitaji rehema za Mungu zitufunike
 
Umeangalia mara 60 halafu unajifanya kusikitika wewe ni muongo. Na utaendelea kuiangalia kesho, kesho kutwa na mwaka mzima huu.
 
Umenipa tuuma nzito hapa...mara mm single mother nimecheka πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.....nilikujibu naona mods wamefuta...
πŸ˜ŠπŸ€“πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Kweli kabisa zamani Taifa lilikua likipita changamoto yoyote watu walisimama na kuombq kwa pamoja na Mungu alisikia maombi...hii hali inaenda kuwa mbaya
Sure, tunahitaji sana maombi ili ku neutralize nguvu za yule muovu, katika kushambulia hatma za watu kwa kupanda mbengu za uovu. Bila maombi dhambi huingia ndani, na lengo la dhambi ni kuharibu, kuua na kuiba hatma ya kiungu kwa mtu, taifa hata familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…