Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Hii mbegu tunapanda sisi wenyewe..aliesema utandawazi ni janga kweli ni janga...
 
Hii mbegu tunapanda sisi wenyewe..aliesema utandawazi ni janga kweli ni janga...
Kama msomaji wa biblia, Bwana wetu alisema , adui upanda mbengu wakati usiku wakati watu wamelala.. ( maana yake watu wanapokuwa ka state ya kutokuwa na uombaji na kuwa wame relax ndio mda ambao adui hupanda mambo yake - mbengu na matokeo yake magugu ndio hayo maovu tuyaonayo sasa 😢😢 ) .. Tuwaombee watoto, familia zetu hata lisaa limoja kila siku.. maombi ndio siraha pekee ya kukabiliana na muovu na kuruhusu mapenzi na nguvu za Mungu kutawala.
 
Umenipa tuuma nzito hapa...mara mm single mother nimecheka 🤣🤣😂😂.....nilikujibu naona mods wamefuta...
😊🤓🇹🇿🇹🇿
Baadh mko na malezi mabovu..mtoto wakiume anabidi alelewe kiume sio kike kike mwisho atapasuliwa mayai. Au unatetea endelea na moyo wa huruma kutetea uovu
 
Hakika bro National Anthem umeongea ukweli..
Tusali sana na sisi tujiombee na tuombe Mungu atuepushe na maovu iwe kwa kuwaza kwetu kutenda n.k
 
Hakika bro National Anthem umeongea ukweli..
Tusali sana na sisi tujiombee na tuombe Mungu atuepushe na maovu iwe kwa kuwaza kwetu kutenda n.k
Sure, tutapo mkaribia Mungu na kumpinga shetani kwa maombi, neno la Mungu, upendo, kufunga, utu wema, imani katika Yesu, na saburi bila kusahau utawa, udhihirisho wa ushindi alio tupatia Yesu pale msalabani unakuwa wazi wazi katika maisha yetu, watoto , familia zetu makazini, hata taifa.. kama kwa watu 10 wangeiponya sodoma na gomora , familia zetu zikisimama zitaliponya taifa
 
Ficha ujinga...
 
Mwanaume unapata ujasiri wa kuangalia hyo video nara 60, duuuh kweli una moyo
 
hebu nitumie pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…