Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Hii mbegu tunapanda sisi wenyewe..aliesema utandawazi ni janga kweli ni janga...Sure, tunahitaji sana maombi ili ku neutralize nguvu za yule muovu, katika kushambulia hatma za watu kwa kupanda mbengu za uovu. Bila maombi dhambi hingia ndani, na lemgo la dhambi ni kuharibu, kuua na kuiba hatma ya kiungu kwa mtu, taifa hata familia.