Kwenye interview yake aliulizwa kwann hawajaitisha mkutano wa kuchagua mgombea, alijibu ni hawana pesa ya kuitisha mkutano.Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Hashim Rungwe ni jabali la siasa za upinzani nchini.CCM ghafla umetokea kuwa kubali na kuwapenda CHAUMA ?
Mbona mbowe alipokea sanaHela inatoka Ikulu
Itakuwa chama kikuu cha upinzani, Chadema ni wapumbavu sana, wanamdekea nani? Nani awabembelezee chakula? Mazombie kweli, wao wasema cha nini wenzao wanasema watapatajeWaaaaaa!
Wakuu, pameanza kuchangamka tayari!
Mara paap! CHAUMMA inashika dola!
We ni zezetaHatimaye si tetesi Tena,genge limekamilisha ujinga wao japo hatukutarajia kwa ukosefu huu wa hata chembe ya aibu
Wewe zinakutosha kweli? Mtu kauliza swali nimejibu tena kwa neno moja tu nikaweka nukta umeona nimetia neno hapo?Mbona mbowe alipokea sana
Zamu ya Chauma sasa tulia
nikufuatilie who the fvck are you?Wewe ulikuwa nje ya mada,ulidandia hoja niliyomjibu Fundi Mchundo bila kufuatilia nilichomjibu wewe umekuja na kitu tofauti kabisa ndiyo maana nikakuona mpuuzi tu.
mkuu chadema hasa wafuasi wa lissu ni vichaaKwani vyama vingine hela wanatoa wapi, acha umbea fanya mambo yako bwanamdogo
Umechrlewa idd Amin dada wewe.Kodi za Wananchi. Haya mazingaombwe watanzania ni muda mwafaka wa kusema NO. Idd Amin Mama must go
kwahiyo nyie mnadhani wenye haki ya kua na pesa ni chadema tu pekee yao?Kwenye interview yake aliulizwa kwann hawajaitisha mkutano wa kuchagua mgombea, alijibu ni hawana pesa ya kuitisha mkutano.
Naunga mkono hoja yako.umeelezea kisomikwahiyo chadema tu ndio ina hela dunia hii?
watu 400 wakichanga 20,000 kila mmoja hawawezi kodisha ukumbi?
na pia unadhani Spunda ni masikini kama wewe?
waacheni watu wafanye siasa zao,wametoka huko wameenda pengine,a grown man kuulizia finances za wengine ni somekind ya gay tendencies
kwani nyie chadema hela ya ford foundation kutoka kenya sio hela ni karatasi zile?
acheni unaa!
Ni kweli kabisakwahiyo nyie mnadhani wenye haki ya kua na pesa ni chadema tu pekee yao?
wameingia watu chaumma,hata wakichanga 10,000 kila mmoja wanafanya chochote
na kuna sisi wapambe wakitoa lipa namba tu tunatuma michango kama yote!
Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Mnasema Chaumma inapewa pesa na IkuluWewe zinakutosha kweli? Mtu kauliza swali nimejibu tena kwa neno moja tu nikaweka nukta umeona nimetia neno hapo?
wamepaniki sanaJAMAA ZETU WAMENUUNA! DAH, IMARISHENI CHADEMA YENU MFU.
hao si wanadamu ni ng'ombe?"Vigogo na wachama zaidi ya elfu tatu watimka CDM, CDM imekufa kabisa" Vigogo wenyewe sasa
View attachment 3341082
We mpu.uzi huoni sura za POSHO hizo? Vijana wameokotezwa kama vile CCM inavyosomba watu kwenye mikutano yake. NO REFORMS, NO ELECTION 2025hao si wanadamu ni ng'ombe?
wa chaumma si wanadamu wanadamu ni waliopo chadema pekee yake?
hii superiority complex aisee itawamaliza
mna ushamba mwingi sana