Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

Alizaliwa boya pia ndiyo maana anatumika kuvuruga watu kama alivyomshambulia Jaji Warioba mwaka 2014.
 
Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Unatafuta kichaka cha kujificha?? Aliyekosea maadili ya kazi yake ni jaji mmoja tu au unataka kusema jaji hakoselewi? Akikosolewa tayari umeingilia mhimili wa mahakama sio? Au hukumu ya jaji hapingwi?
 
Anakulipa sh? Makonda
 
Go jery go.
Ila uwe makini maana ajari za barabarani, kuchomoka kwa tairi na mambo mengine yanayofanana na hayo yataanza kukuandama kwakuwa umeanza kugusa paspo gusika.
 
Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Huyo jaji hakutakuwa kusikiliza hiyo kesi ni conflict of interest Slaa Yuko sahihi
 
Kwani waziri kusema tu hivyo ndiyo kumfanya 'jaji amsaidie tapeli'. Aende mahakamani ili mbivu na mbichi zieleweke. Kumwandikia tu waziri wa sheria hakusaidii kitu kwa tuhuma kama hizi. Lakini pia kama waziri hatakuwa na ushahidi wenye nguvu jaji anayeshutumiwa akifungua kesi ya madai kumshushishia heshima mbele ya jamii, patakuwa patamu hapo!
 
Huyo jaji hakutakuwa kusikiliza hiyo kesi no conflict of interest Slaa Yuko sahihi
Lakini naona kwenye 'conflict of interest' hapa haifiti vizuri kwa sababu mtu ambaye zamani nilipokuwa wakili alileta documents zake nimgongee mhuri hakuwezi kunifunga kwa baadaye nikiwa jaji kuamua kesi dhidi yake au kwa upande wake. Conflict of interest inatokea kama uhusiano wa huyo jaji na mtu aliyemgongea mhuri kwenye documents zake unaweza au utaathiri uamuzi wake (yaani kwamba hataweza kuwa fair kwa sababu hiyo).
 
Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Hili liinchi ndo maana haliendelei. Kila penye upuuzi ambapo tulitakiwa kushirikiana kuukataa hutokea wajinga kama wewe
 
Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Ni kweli lakini mahakamani kuna madudu mengi na hatari sehemu inayotegemewa kupata haki kuna madudu namna hii. Kama umeshawahi kupitia mahakami basi utamuelewa Slaa. Kule kama una roho ndogo utajinyonga. Ni wakati wa kuwanyoshea vidole wajue kuwa kila mtu ataguswa ukichukulia pia wanateuliwa na Rais pia anayeteua mawaziri.
 
Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Mkuu umeelewa kitendawili kilichopo kwenye maelezo ya mzungumzaji???, hapa mahakama inatuhumiwa, iweje itende haki???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…