James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri umetukana bila kusoma ushauri. Heading tu inaitaka Serikali iwahamishe watu wa hapo. Imagine wangekuwa ndugu zako, je ungeandika ushuzi kama huo?Nyie Mmmbwa wa Tz hamnaga zuri kwenu, Kila jambo mnalitengenezea ubaya, Me nikazani utashauri hao wananchi wa eneo hilo ndo watafutiwe pa kwenda we unakosoa bwawa ambalo lina umuhimu kwa Taifa!!!
Huko si watakwenda kushika mkia? 😀😀😀Shule ya Mkongo na Utete zifungwe mara moja na wanafunzi wahamishiwe shule maalum kama Kibaha na Ilboru.
Uzuri jina lako na akili yako viko sawa. Macho kwenye ugali. Kwa nini nibishane na mtu mwenye ugali kwenye ubongoKwanza,
1. wewe ni mvivu wa kufikiri, ni mtumwa wa matatizo, UNESCO ikifungiwa bandani unakaa humohumo hadi ufe.
2. Hii clip ipo mtandaoni siku nyingi.
Ingia tena YouTube uandike mafiriko ya Rufiji ujionee jinsi ambavyo yamekuwa yakiitesa miji hiyo hata kabla ya JKNHP kujengwa ndo utajiona ulichoandika kwa kishabiki ni cha kijingaUsiandike hovyo kama headless chicken Lucas Mwashambwa , hebu angalia hii clip ya mafuriko kwenye makazi ya watu
View attachment 2957933
Wanafeli kutokana na mazingira, kule Mkongo na Utete kila siku ni typhod, kichocho na UTI sugu huku wanakijiji wakiwaloga na kuwaoa wakifika form four.Huko si watakwenda kushika mkia? 😀😀😀
Wewe unataka niende YouTube nikatafute shida za watu wa Rufiji. Kwani hapa DC wa Rufiji anasemaje?Ingia tena YouTube uandike mafiriko ya Rufiji ujionee jinsi ambavyo yamekuwa yakiitesa miji hiyo hata kabla ya JKNHP kujengwa ndo utajiona ulichoandika kwa kishabiki ni cha kijinga
We kenge hacha siasa zako za matyako wazi kwenye uhai wa watuMleta mada acha kuwachanganya watu kwa hiyo video. Hiyo video ninayo muda mrefu sana mimi na wala siyo ya leo wala jana.ila naona umeamua tu kuja kupigia propaganda hapa jukwaani kwa sababu zako binafsi.
Hii inatokana na maji yaliyofunguliwa toka ndani ya bwana kama mleta mada anavyosema au hii inatokana na athari za mvua nyingi eneo hilo kwa ujumla wake?Usiandike hovyo kama headless chicken Lucas Mwashambwa , hebu angalia hii clip ya mafuriko kwenye makazi ya watu
View attachment 2957933
Mkuu mabwawa karibu yote tanzania kunakipindi hujaa sana na maji hufunguliwa.milango ya kumwaga maji ifunguliwe yote, rate of intake iendane na rate of flow out mpaka kipindi cha mvua kinapokaribia kuisha ndipo wazuie flow out,
N. B, Nagundua bwawa hili halitaki uzembe, either itengenezwe Automatic flow out, maji yanapofikia tu kina cha 180, hizo flow out ziwe zinafunguka zenyewe, sidhani kama binadamu anaweza kumudu hasa juu ya uangalizi na umakini huu.
*Retr, engineer!
Nilibase na negative comments za watu sio wewe ila na wewe sasa Serikali inazungumza mara ngap kuhusu watu wanaoishi sehemu hatarishi? Acha kutetea ujinga kwa kisingizio cha undugu, Sehemu kama sio salama kwako unapaswa kuondoka na sio kusubiri kila kitu hadi upate madhara.... Kama mwananchi una akili ya kujiongeza sidhani kama kutokana na unavyoona hali ya uchukuaji wa hatua iliyopo kwa viongozi wa Africa ungesubutu kuwategemea wao kimsaada.Nafikiri umetukana bila kusoma ushauri. Heading tu inaitaka Serikali iwahamishe watu wa hapo. Imagine wangekuwa ndugu zako, je ungeandika ushuzi kama huo?
Wawatafutie maeneo na wawalipe fidia, siyo kuwahamulu tu kua wahame wakati serikali ndo imefanya uzembe, ilitakiwa wawahamishe mapema kabla ya ujenzi wa bwawaWewe unataka niende YouTube nikatafute shida za watu wa Rufiji. Kwani hapa DC wa Rufiji anasemaje?
View attachment 2957935
"Mkuu wa wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani Meja Edward Gowele leo, Jumapili Aprili 07.2024 ametoa rai kwa wakazi walioko karibu na Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Julius Nyerere (JNHPP) na maeneo hatarishi kuhama kwenye maeneo hayo sambamba na kuepuka kusogeelea maeneo ya maji
Meja Gowele ametoa tahadhari hiyo kufuatia Bwawa hilo kuzidiwa hivyo kulazimika kufungua milango minne (4), na kwamba maji yanayotoka ni mita za ujazo 7,500 kwa sekunde ambayo ni sawa na lita 7,500,000 kwa sekunde, ambapo kiuhalisia maji hayo ni mengi zaidi ya mwaka 2020"
Kwa kufungua mlango na kumwaga majiTunamshukuru mama
Acha upumbavu dogo! Wewe na ukoo wako ndio vichaa!alianza ubishi wa jpm. mtu alikua kichaa akapewa urais. jpm alifaa uwaziri mkuu na si urais
haya kaja bi marembo naye badala azingatie suala la athari za kimazingira kwa wakazi wa huko naye kaacha tu mambo yajiendee. sasa balaa limetokea ndio wanataka kusaidia wananchi. akili za watu weusi ni upepo mtupu.
kusimamisha ujenzi ilikua si suala la kufanya ilipaswa kuhakikisha usalama wa wananchi na mazingira uzingatiwe.
wazungu walipoonya jpm kwa kibri akajibu wanatuone gere. watuonee gere kwa lipi wakati wametuzidi akili.