Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

Acha upumbavu dogo! Wewe na ukoo wako ndio vichaa!

Pana raia wangapi hapo? Faida za hilo bwawa ni kubwa mara elfu kuliko kuhamisha hao raia hapo. Jpm alituma nguvu zake kuweka hilo bwawa ili nchi iwe na umeme wa uhakika, it's na nyie mloobaki tumieni nguvu na akili zenu kutunza hilo bwawa na wananchi wanaolizunguka ili lilete faida za kiuchumi kwao?!

Kama ni hatari hivyo kwanini selikali isihamishe raia? Mbona Ngororo mmewahamisha?

By the way, si mlikuwa mnatwambia hilo bwawa halitakaa lijaemaji?
poa matako mazuri. umekula kwanza?
 
Nilibase na negative comments za watu sio wewe ila na wewe sasa Serikali inazungumza mara ngap kuhusu watu wanaoishi sehemu hatarishi? Acha kutetea ujinga kwa kisingizio cha undugu, Sehemu kama sio salama kwako unapaswa kuondoka na sio kusubiri kila kitu hadi upate madhara.... Kama mwananchi una akili ya kujiongeza sidhani kama kutokana na unavyoona hali ya uchukuaji wa hatua iliyopo kwa viongozi wa Africa ungesubutu kuwategemea wao kimsaada.

Huo uzi wako ungelenga kuhamasisha hao watu wahame hiyo sehemu ningekuelewa lakini sio kuanza kuzungumzia bwawa as if serikali imekosea sana kulijengea kwaajili ya nishati.... Hao wananchi wakisubiri hadi kila kitu waambiwe watajikuta wanaogelea siku moja ndipo watakumbuka kwamba hii ni Africa sio Ulaya
Labda unezaliwa mjini na hujawahi kutembea vijijini, naona unadhania ni vyepesi wananchi kujihamisha makao ya asili.

Serikali kama ingefanya Comprehensive Environmental Impact Assessment ilipaswa kuwahamisha kwa gharama zake kama inavyowajengea nyumba wamasai wanaotoka Ngorongoro kwenda Msomera
 
Acha upumbavu dogo! Wewe na ukoo wako ndio vichaa!

Pana raia wangapi hapo? Faida za hilo bwawa ni kubwa mara elfu kuliko kuhamisha hao raia hapo. Jpm alituma nguvu zake kuweka hilo bwawa ili nchi iwe na umeme wa uhakika, it's na nyie mloobaki tumieni nguvu na akili zenu kutunza hilo bwawa na wananchi wanaolizunguka ili lilete faida za kiuchumi kwao?!

Kama ni hatari hivyo kwanini selikali isihamishe raia? Mbona Ngororo mmewahamisha?

By the way, si mlikuwa mnatwambia hilo bwawa halitakaa lijaemaji?
Hata kama kungekuwa na raia watatu muhimu ni kuhamishwa ili kuokoa maisha ya binadamu kwa kuwa binadamu haishi mara 2. Thamani ya binadamu mmoja ni sawa tu na binadamu 60 Million.

Invariably Rufiji ina wakazi wapatao 200,000 ambao wako kwenye hatari ya kuathirika na mafuriko hayo.
 
View attachment 2957904

-- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa

-- Wananchi wameanza kuambiwa kuhama sababu maafa yanayokuja ni makubwa

-- UNESCO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa, Mwalimu Nyerere aliambiwa kuhusu hii hali, Mwalimu akaona hapana tuachane na hili bwawa

-- Hili Bwawa linachangamoto moja, linamwaga maji wakati maji yanaelekea kwenye maeneo yenye shughuli za utalii, makazi ya watu na maeneo ya kilimo

-- Changamoto hizo zilionekana mwaka 1970 wakati huo kulikuwa na population ndogo rufiji

-- Kwa sasa serikali ina changamoto ya kulinda usalama wa bwawa kutovunjwa na maji, lakini pia kuzuia maji na kuyaachia kwa kasi pia, kwenye hii operation kama bwawa litavunjika litasomba rufiji yote na chochote mbele yake, Njia salama ni kuachia haya maji kama wanavyofanya sasa, lakini shida ni kwamba hawataki kuwaambia wananchi ukweli, wanatakiwa kuhamisha wananchi na kuwalipa usumbufu, kwa maji yanayokwenda kuingia kwenye bwawa ili bila kuyaachia kwa kasi bwawa zitavunjia

-- Makadirio ya kuachia maji ili bwawa liwe salama ni 700,000 lita kila sekunde , kwa maana nyingine ni kuachia maji ya kujaza uwanja wa mpira wa mkapa ndani sekunde 2 au chini ya hapo

Haya maji yanakwenda kusomba watu, serikali iwe wazi, maana kuna tahadhari ya mvua kunyesha,

-- Haya maji yakiachiwa yataijaza wilaya ya rufiji kwa kimo cha 1.8 mita , wilaya yote ya rufiji

-- Mbili haya maji yaliyoachiwa na yanayoenda kuachiwa sio ya kuzalisha umeme, ni kwamba maji yameingia kwa wingi kwenye bwawa na bwawa alina uwezo wa kuimiri hivyo wanayafungulia ili kingo vya bwawa zisije vunjwa, na wanaelekea kuachia maji mengi zaidi ili kuokoa bwawa sio kuzalisha umeme hapana ni kuokoa bwawa maana waliaenda kujenga bwawa kwenye eneo lenye mto mzito bila kuzingatia athari za mazingira, kujenga bwawa kwenye mto kama rufiji iliitaji tekinologia kubwa sana na pia fedha nyingi sana zilitakiwa kutumika kutokana na hali ya kijiography ya mto, kwa maana nyingine huu mradi ulikuwa ni hatari , mvua zikipiga basi lazima maji yaachiwe vya kutosha.

Kwa sasa wamefungua milango 4 tu na bwawa lina milango 9 na katika hiyo 4 ambayo ni chini ya nusu tayari rufiji imezama, sasa sijui wakifungua full scale itakuwaje yaani 9 ili kuokoa bwawa, na swali kubwa ni je ili bwawa liko salama? tutadumu na ili bwawa kwa muda gani kama haya maji yakijaa yanakuwa mengi kiasi kikubwa hivi ?

Mungu ilinde rufiji, Mungu walinde Watanzania
Maji hayawezi kuzidi zaidi ya hapo ndio maana wamefungua milango 4 tu,hiyo milango ni maalum kwa ajili ya tahadhari kama hizo,na ndio maana wakaiweka 9,hapo ni shule kubwa sana imetumika mkuu sio kienyeji hivyo unavyofikiri,kwahiyo swala la kubomoka bwawa ondoa shaka,cha kuhofia tu ni hilo la mafuriko kwenye maeneo ya watu,hili linaonekana hakukuchukuliwa tahadhari ya kutosha,wapambane wanavyoweza ili kuondoa kabisa watu kwenye maeneo unapopita mto...
 
- UNESCO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa, Mwalimu Nyerere aliambiwa kuhusu hii hali, Mwalimu akaona hapana tuachane na hili bwawa
Nyerere aliamua kuachana na hili bwawa lkn akaja mshenzi mmoja mpenda sifa (jiwe) akakaza shingo. Sasa ujinga wake unaligharimu taifa.
 
Mleta mada umesahau kuweka source yako ya Twitter ‘change Tanzania’ kutumia maandiko ya mtu neno kwa neno ni plagiarism. Hiyo post ishajadiliwa jana.

Yeye anadhani ukuta wa dam unaojengwa kwa miaka miwili ni sawa na ule wa nyumbani kwake unabomoka kirahisi rahisi tu.
Kweli kabisa. Source ya uzi wangu ni "The Chanzo" kutoka mtandao wa X, zamani Twitter
 
View attachment 2957904

-- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa

-- Wananchi wameanza kuambiwa kuhama sababu maafa yanayokuja ni makubwa

-- UNESCO waonya kuhusu mafuriko kusabibishwa na bwawa, Mwalimu Nyerere aliambiwa kuhusu hii hali, Mwalimu akaona hapana tuachane na hili bwawa

-- Hili Bwawa linachangamoto moja, linamwaga maji wakati maji yanaelekea kwenye maeneo yenye shughuli za utalii, makazi ya watu na maeneo ya kilimo

-- Changamoto hizo zilionekana mwaka 1970 wakati huo kulikuwa na population ndogo rufiji

-- Kwa sasa serikali ina changamoto ya kulinda usalama wa bwawa kutovunjwa na maji, lakini pia kuzuia maji na kuyaachia kwa kasi pia, kwenye hii operation kama bwawa litavunjika litasomba rufiji yote na chochote mbele yake, Njia salama ni kuachia haya maji kama wanavyofanya sasa, lakini shida ni kwamba hawataki kuwaambia wananchi ukweli, wanatakiwa kuhamisha wananchi na kuwalipa usumbufu, kwa maji yanayokwenda kuingia kwenye bwawa ili bila kuyaachia kwa kasi bwawa zitavunjia

-- Makadirio ya kuachia maji ili bwawa liwe salama ni 700,000 lita kila sekunde , kwa maana nyingine ni kuachia maji ya kujaza uwanja wa mpira wa mkapa ndani sekunde 2 au chini ya hapo

Haya maji yanakwenda kusomba watu, serikali iwe wazi, maana kuna tahadhari ya mvua kunyesha,

-- Haya maji yakiachiwa yataijaza wilaya ya rufiji kwa kimo cha 1.8 mita , wilaya yote ya rufiji

-- Mbili haya maji yaliyoachiwa na yanayoenda kuachiwa sio ya kuzalisha umeme, ni kwamba maji yameingia kwa wingi kwenye bwawa na bwawa alina uwezo wa kuimiri hivyo wanayafungulia ili kingo vya bwawa zisije vunjwa, na wanaelekea kuachia maji mengi zaidi ili kuokoa bwawa sio kuzalisha umeme hapana ni kuokoa bwawa maana waliaenda kujenga bwawa kwenye eneo lenye mto mzito bila kuzingatia athari za mazingira, kujenga bwawa kwenye mto kama rufiji iliitaji tekinologia kubwa sana na pia fedha nyingi sana zilitakiwa kutumika kutokana na hali ya kijiography ya mto, kwa maana nyingine huu mradi ulikuwa ni hatari , mvua zikipiga basi lazima maji yaachiwe vya kutosha.

Kwa sasa wamefungua milango 4 tu na bwawa lina milango 9 na katika hiyo 4 ambayo ni chini ya nusu tayari rufiji imezama, sasa sijui wakifungua full scale itakuwaje yaani 9 ili kuokoa bwawa, na swali kubwa ni je ili bwawa liko salama? tutadumu na ili bwawa kwa muda gani kama haya maji yakijaa yanakuwa mengi kiasi kikubwa hivi ?

Mungu ilinde rufiji, Mungu walinde Watanzania
Tanzania ni ichi kubwa Sana
 
Rufiji mto una maji mengi sana kutokana na mvua , wanatoa maji kwasababu yashafikia kimo cha juu na ili kulinda bwawa hawataki yaongezeke zaidi , hii sasa ujazo wa maji yanayoingia ni sawa na yale yatakayotoka ili kumaintain level , maana yake ni kwamba hata kusingekuwepo bwawa mafuriko yangekuwepo tu...Historia ya huo mji kila kipindi cha mvua kubwa kuna mafuriko , Athari ya Bwawa itakuwa ni kasi ya maji tu , faida ni kwamba taarifa inatolewa ili wananchi kuchukua tahadhari.
Serikali iweke tu utaratibh mzuri wa kuhamisha wakazi waliopo karibu sana na mto huo ili isiwe adha ya mara kwa mara .
 
Maji hayawezi kuzidi zaidi ya hapo ndio maana wamefungua milango 4 tu,hiyo milango ni maalum kwa ajili ya tahadhari kama hizo,na ndio maana wakaiweka 9,hapo ni shule kubwa sana imetumika mkuu sio kienyeji hivyo unavyofikiri,kwahiyo swala la kubomoka bwawa ondoa shaka,cha kuhofia tu ni hilo la mafuriko kwenye maeneo ya watu,hili linaonekana hakukuchukuliwa tahadhari ya kutosha,wapambane wanavyoweza ili kuondoa kabisa watu kwenye maeneo unapopita mto...
"cha kuhofia tu ni hilo la mafuriko kwenye maeneo ya watu,hili linaonekana hakukuchukuliwa tahadhari ya kutosha,wapambane wanavyoweza ili kuondoa kabisa watu kwenye maeneo unapopita mto"
 
hili jambo alilisema Waziri Biteko last week, tukaweka thread ya maneno ya Biteko neno kwa neno, bwawa limeelemewa, wana Rufiji wamepewa tahadhari na Naibu Waziri Mkuu, JF admins waoga, punks, wakafuta uzi...
...nashangaa wamechelewa kufuta na huu uzi, huwa wanauganisha na thread ya tamko la serikali ili tujadili tamko la serikali, kama kawaida yenu vilaza wakubwa nyinyi JF operators....
.... wewe Maxence Melo umekuwa chawa, mwoga, dhaifu mkubwa siku hizi, unafutaje thread inayonukuu maneno ya Waziri kwa saab unaona yanaiaibisha serikali ?
 
Back
Top Bottom