Video Clip: Rufiji litangazwe kuwa ni eneo la hatari na Serikali iwahamishe wananchi mara moja

Wewe ndiye mburura japo hujijui. Wala hujui nini kinaendela huko Rufiji
 
Tuombe sana yaliyotokea kule Libya mwaka jana kwa mji mzima kufutika baada ya bwawa kupasuka yasijirudie tena! That was a very bad experience!
Aisee inatisha kweli
 
Je haina ukweli kwa yanayotokea hii leo?
Jana tu tayari tumetangaziwa watu 2 wameshapoteza maisha.

Huoni kuwa mleta mada ameuleta kwenye muda muafaka?
Huyu masopakyindi ni Zerobrain kabisa, nashukuru umemuona pia
 
Tu address real issues tuache witch hunting zisizo na tija. Huyo unayemwita Kipara na Mabeans hawakuwa na uwezo wowote wa kuingilia mambo ya kiufundi yahusuyo ujenzi wa Bwawa. Hata mimi siwakubali hao watu wawili kwa namna walivyoisimamia TANESCO na namna Kipara anavyotaka urais wa Tanzania. Lakini MAPUNGUFU yeyote ya JNHEP ni Magufuli tu. Let the truth be told
 
Key point ambayo ndiyo subject matter ni kuhamisha watu, hayo mengine hatubishanii
 
Maji ni matulivu sana yakiwa yametwama, ila balaa lake linaanza pale unapotengeneza mazingira yaanze kwenda kasi. Nguvu zake ni balaa ona ulichofanya bwawa umeme huko Russia.
 

Attachments

  • images (1) (27).jpeg
    13.9 KB · Views: 2
Mambo ya legacy hayo.Unachimba bwawa linazalisha mbu.Malaria inawagonga wananchi na vifo vinatamalaki.Ujinga plusplus!
Kwahiyo nchi iendelee kuwa gizani sababu kuna raia hapo watakufa kwa mbu?

Kwanini mamaenu asiwahamishe? Mbona ngorongoro wameihamishia?
 
Kwahiyo bwawa lina umuhimu kuliko maelfu ya watanzania wenzetu wanaopoteza maisha?
Si umwambie mamako awahamishe kama wale wa mbugani waliopelekwa tanga?
 
Wewe ndiye mburura japo hujijui. Wala hujui nini kinaendela huko Rufiji
Ninakijua kinachoendelea Rufiji, kinahusiana kijiografia, lakini hakihusiani kisayansi.
Mwisho wa sakata hili utakuwa umejifunza na utakuja kukubaliama na mimi.
 
Mwanzoni mlisema bwawa halitojaa, baadae mmekuja na kauli nyingine chadema ni janga la kitaifa

Kosa kubwa wazazi wako walifanya NI KUTO-KUTUMIA MPIRA WA KIUME kuzuia mimba isiyo tarajiwa!
Kwamba Madhara yakionekana yasisemwe?
Wanaokufa Rufiji ni CHADEMA?
Una utapiamlo wa ubongo na hujielewi?
 
Wamesema wao mafuriko wamezoea serikali iwape mbegu tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…