Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,339
- 3,319
Sio sehem salama kuishi.Hujaelewa chochote!! Wananchi wa wilaya ya Rufiji, je??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio sehem salama kuishi.Hujaelewa chochote!! Wananchi wa wilaya ya Rufiji, je??
ugonjwa mpya mjini "mtu hata kumtia mimba mkewe anamshukuru mama"Tunamshukuru mama
Wewe ndiye mburura japo hujijui. Wala hujui nini kinaendela huko RufijiW
Wewe acha kampeni za kuwaletea raia taharuki.
Hayo maji yanayoruka siyo yameachiliwa bali yamebanwa mahususi katika operesheni za kawaida kabisa za kuzalisha umeme.
Ili mitambo ifanye kazi ya kuzalisha umeme lazima ipate kani itokanayo na maji yanayopita kwa kasi.
Sasa wewe endelea kupotosha mburura wenzako na kuna kitu kipo nyuma ya pazia unakitafuta ama unakifanyia kazi.
Huyu sakasaka aniniitaniita mimi mburura kumbe ana akili mgando. Nashukuru Bush Dokta umemuonyesha ukweliView attachment 2958224
Operation yakawaida kama hii
Aisee inatisha kweliTuombe sana yaliyotokea kule Libya mwaka jana kwa mji mzima kufutika baada ya bwawa kupasuka yasijirudie tena! That was a very bad experience!
Mwanzoni mlisema bwawa halitojaa, baadae mmekuja na kauli nyingine chadema ni janga la kitaifa
Huyu masopakyindi ni Zerobrain kabisa, nashukuru umemuona piaJe haina ukweli kwa yanayotokea hii leo?
Jana tu tayari tumetangaziwa watu 2 wameshapoteza maisha.
Huoni kuwa mleta mada ameuleta kwenye muda muafaka?
Macho kwenye ugali 😂😂Huyu masopakyindi ni Zerobrain kabisa, nashukuru umemuona pia
Tu address real issues tuache witch hunting zisizo na tija. Huyo unayemwita Kipara na Mabeans hawakuwa na uwezo wowote wa kuingilia mambo ya kiufundi yahusuyo ujenzi wa Bwawa. Hata mimi siwakubali hao watu wawili kwa namna walivyoisimamia TANESCO na namna Kipara anavyotaka urais wa Tanzania. Lakini MAPUNGUFU yeyote ya JNHEP ni Magufuli tu. Let the truth be toldEIA iliyoelezwa na wale waliopiga kelele ilikuwa ni athari za kutaka miti na uoto kwa asilimia 1% ya Mbuga ambapo miti ilipatwa kwa eneo la ukubwa wa DSM.
Miongoni mwa waliopinga huu mradi ni pamoja na Kipara ambaye akaja kuapishwa kwa mfumo wa kufutana machozi. Na huyo ambaye anautamani sana ukuu wa nchi hii hakuona kama ni busara kusimamia huu mradi kwa ufanisi na alichokifanya huko hakina tofauti na alichokifanya kwenye miundombinu ya TANESCO. Unapofikia mahala mtu halali akafanya mambo haramu halafu anaendelea kulindwa na kuheshimishwa maana yake ni kwamba serikali inawafitini wananchi.
Kipara na mabeans wawekwe chini ya uangalizi kwa haya matokeo waliyoyatengeneza. Waliingia kuharibu ndo maana wakaondolewa baada ya kugundulika uhuni wao. Huwezi ukafanya vizuri kisha ukaondolewa eneo hilo.
Waendelee kulindana lakini ikumbukwe KARMA haina rufaa
Key point ambayo ndiyo subject matter ni kuhamisha watu, hayo mengine hatubishaniiAcha chuki,at the beginning hata nchi zilizoendelea hivi vitu vinatokea,ni swala la kuweka mambo vizuri na baada ya muda kila kitu kitakua sawa.Hivi umeshajiuliza,leo hii uchumi wa nchi ulipofikia kusingekuwa na hili bwawa hali ingekuaje,waasisi waliona mbali sio unabeza kila kitu.Soma hii-(In total, China's domestic dams are reported to have displaced 23 million people as well as significantly affected water availability and environmental quality (International Rivers, 2012).
Kwahiyo nchi iendelee kuwa gizani sababu kuna raia hapo watakufa kwa mbu?Mambo ya legacy hayo.Unachimba bwawa linazalisha mbu.Malaria inawagonga wananchi na vifo vinatamalaki.Ujinga plusplus!
Kwa nini usije na hoja mbu ndiyo wahamishwe?Kwahiyo nchi iendelee kuwa gizani sababu kuna raia hapo watakufa kwa mbu?
Kwanini mamaenu asiwahamishe? Mbona ngorongoro wameihamishia?
Si umwambie mamako awahamishe kama wale wa mbugani waliopelekwa tanga?Kwahiyo bwawa lina umuhimu kuliko maelfu ya watanzania wenzetu wanaopoteza maisha?
Ninakijua kinachoendelea Rufiji, kinahusiana kijiografia, lakini hakihusiani kisayansi.Wewe ndiye mburura japo hujijui. Wala hujui nini kinaendela huko Rufiji
Mwanzoni mlisema bwawa halitojaa, baadae mmekuja na kauli nyingine chadema ni janga la kitaifa
Mkuu mimi sitambi kuwa ninayo brain, in fact hata mimi nilipoenda hospitali kupimwa majuzi wakaniambia haikuwahi kuwepo!Huyu masopakyindi ni Zerobrain kabisa, nashukuru umemuona pia