VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

Yes,ilipaswa iwe hivyo ila Kwa imani yangu,muda ukifika hakuna namna, nyingine ni sababu tu, huenda ameshawahi kuanguka vibaya zaidi ya hivi na akapona.
Ilitakiwa Idd Amin alipotuvamia aachwe tu aichukue Kagera huenda iliandikwa iwe hivyo na siku ya Kagera kuchukuliwa huenda nayo ilifika.
 
Back
Top Bottom