VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

Mkuu makaveli ukiwaza sana mambo ya kifo unajipotezea furaha mwenyewe. Kufa tutakufa hata kama kifo cha maumivu, once you die you're gone forever, ingekuwa maumivu ya kifo unaendelea kuyasikia huko tutakapokuwa wote tungekuwa tunamuomba Mungu tufe kifo cha amani. Uzuri hata mwili uharibikaje, huko tuendako hatuendi nayo😊
Hilo ndilo linalonipa amani zaidi
Huko ni kuzuri thus hawarudi
 
Kifo ni fumbo, kifuatacho baada ya mauti ni kitendawili kizito mnoo, hatujui kifo nini huenda ukawa ni usingizi wa fofofo,huenda ikawa ni kama umepooza, huenda unasikia kila jambo,unahisi maumivu ilq mwili hujiwezi...
MUhimu kujua kila mtu atakufa,japo hatukijuj kifo chenyewe haswaa, tutendeane mema tu.
 
Amiin
 
Bado upoupo sana mkuu kama ulitoka kwenye ile ajali sijui ilikua ni mwaka jana au huu...Ilikua ni yakutisha ile broh!
Mwaka jana ile kaka 19 december hivi. Acha tu kaka,kila nikitizama picha ya gari huwa siamini kama ni mimi nimetoka mule.

Kifo hakina adabu nimeweza chomoka mule kisha nikaja kufa nimelala tu usingizi,siku ikifika kaka hakuna ujanja.
 
Ilitakiwa Idd Amin alipotuvamia aachwe tu aichukue Kagera huenda iliandikwa iwe hivyo na siku ya Kagera kuchukuliwa huenda nayo ilifika.
Acha kufananisha kifo na vitu vya kipuuzi puuzi.
 
Uenda alipiga kichwa chini thus alitapatapa kwa kukosa pumzi
Wakati mwingine hawa wanamuziki huwa wanatumia madawa na kila aina ya vitu vitakavyo-boost mood na energy wakati wanatumbuiza. Japokuwa sisemi ndiyo sababu lakini pia inawezekana.
 
Acha kufananisha kifo na vitu vya kipuuzi puuzi.
jitihada zifanyike au umakini uzingatiwe, ikishindikana ndipo tuseme siku ilifika. Lakini haiwezekani watu wasichukue tahadhari kwa kigezo cha kama siku imefika imefika tu.
 
Sijui mazungumzo yako yanalenga nini, je nilisema jitihada zisifanyike..? Napinga jitihada?

Ninachoamini, jitihada hazisaidii kama siku ikiwa imefika, lakini sina maana tusifanye jitihada, watu wanakufa kwenye hospitali babkubwa duniani huko,akiwa kazungukwa na madaktari bingwa.
 
Wakati mwingine hawa wanamuziki huwa wanatumia madawa na kila aina ya vitu vitakavyo-boost mood na energy wakati wanatumbuiza. Japokuwa sisemi ndiyo sababu lakini pia inawezekana.

Wanasema hakuwa akitumia chochote kwasababu ya kifafa
 
Kifo ni fumbo, kifuatacho baada ya mauti ni kitendawili kizito mnoo, hatujui kifo nini huenda ukawa ni usingizi wa fofofo,huenda ikawa ni kama umepooza, huenda unasikia kila jambo,unahisi maumivu ilq mwili hujiwezi...
MUhimu kujua kila mtu atakufa,japo hatukijuj kifo chenyewe haswaa, tutendeane mema tu.
Yeah cha msingi tutendeane mema kwakweli.
 
Mwaka jana ile kaka 19 december hivi. Acha tu kaka,kila nikitizama picha ya gari huwa siamini kama ni mimi nimetoka mule.

Kifo hakina adabu nimeweza chomoka mule kisha nikaja kufa nimelala tu usingizi,siku ikifika kaka hakuna ujanja.
Aisee.. pole sana.

Hii ilinipita
 
Back
Top Bottom