VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

Mtoa roho kamuangusha mara ya kwanza akaona pale hawezi ichukua roho yake akainuka akamsogeza mbele Ili amuangushie chini kwenye sakafu toka juu ya jukwaa.
Kutapatapa alikuwa akiipigania roho yake sema ndio hivyo hakuwa na nguvu nyingine ya ziada ya kushindana na kifo.
Kutapatapa huja pindi roho inatwaliwa.
Mwili bila roho ni kasha tu.
Dunia mapito tutende wema
 
Malaika wa kifo alikuwa ukumbini na chaguo lake likawa yeye
 
Dah..kifo, nami sijui kitanikutia wapi, nikikikumbuka kifo pozi nyingi zinakata.
Mkuu makaveli ukiwaza sana mambo ya kifo unajipotezea furaha mwenyewe. Kufa tutakufa hata kama kifo cha maumivu, once you die you're gone forever, ingekuwa maumivu ya kifo unaendelea kuyasikia huko tutakapokuwa wote tungekuwa tunamuomba Mungu tufe kifo cha amani. Uzuri hata mwili uharibikaje, huko tuendako hatuendi nayo😊
Hilo ndilo linalonipa amani zaidi
 
Mtu mwenye kifafa akidondoka hatakiwi bebwa hivyo... Unamuacha hapo unamweka ktk njia ambayo hatakosa pumzi.. unamlaza kwa ubavu....

Crew yake sijui kama haikuwa informed au la... Huo mwendo wa kumbeba hadi wailpofika ndo ulimmaliza .
 
Back
Top Bottom