VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

VIDEO: Costa Tich alidondoka vibaya sana, upande wa mbele. Huenda alikuwa na Kifafa

sema ile ya kufia juu ya kifua Cha mwanamke inaleta aibu kwenye familia
 
Guys behind everything kuna ulimwengu tusiouona kwa macho ya nyama, una mambo mengi makubwa . Tutaongea mengi ila kifo kama hiki cha kanumba na vingine vingi ambavyo sio vya ugonjws huwa vinapangws na watu ambao hutumia nguvu za giza.
 
Back
Top Bottom