Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

Kama unaamini hakuna uchawi, mambo ni sayansi mbona unalilia yanga icheze juani? Huamini sayansi ya mpira?

Yaelekea biology ulipata F na hujui chochote kuhusu sayansi ya mwili wa binadamu.

Ndio maana hata Hujui kucheza mpira kwenye jua kunasababisha Heat Exhaustion kwa wachezaji wanaocheza muda huo

Mfano Ukiambiwa ukimbie kwenye jua vs ukimbie jua limezama.. wapi utachoka haraka?

Science yenyewe inasema heat exhaustion symptoms include feeling of fatigue and a high body temperature. Further symptoms are feeling weak,dizzy etc

Vilaza na matapeli ndio mnapenda sana imani za ushirikina na kuongelea uchawi uchawi
 
Kwenye court of public..ni feelings over facts
Uko sahihi kabisa ndugu yangu. Mahakama zetu za mitaani zinaendshwa na kuhumu kwa hisia badala ushahidi usioacha shaka. Kwenye kesi kubwa kama ya mauaji mahakama inatakiwa iangalie na kuchakata ushahidi kwa kina na siyo vinginevyo. Hizi sheria zilitungwa baada ya uzoefu wa muda mrefu.
 

View: https://youtu.be/3N2zkWPTrFI?feature=shared
Hii case kuna haja ya kutazama mambo kwa upana sana na tusiruhusi hisia pekee kuamua.Kuna mengi nyuma ya pazia yanaendelea.
 
Tatizo lipo kwa wapelelezi, wengi wao hawana weledi wa kazi wana unga unga tu refer kesi ya Mbowe unakuta askari mwenye cheo kikubwa mpelelezi anatoa ushahidi unabaki kushangaa hivi Hawa huko vyuoni Huwa wanasomea kitu Gani kama mkubwa wao kichwani mweupe hivi hao askari wa ngazi ya chini uwezo wao utakuwaje?
 
Binadamu tuna tabia ya kuhukumu watu hata tusipojua kisa. Shida watu wanataka hukumu itoke kulingana na hisia zao. Hizo ni professions za watu, kama unataka ukawe mtoa haki mahakamani, nenda kasomee hilo.
 
Zote ni kesi. Haki inatakiwa kutendeka kote kote.
Basi hata na hii tuseme mahakama imetenda haki...nyie mlikuwepo wakati anaua? [emoji28]
Watanzania na mihemko ndo maana sukari inauzwa bei kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…