Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

Kibatala anazidi kuendelea kujichukukilia point tatu kila panapoitwa Leo


Then Justice ya kulipiza ubaya kwa ubaya sio nzuri wasamehe na kumuachia Mungu wakati ndo hutawaponya.



Wachaga baadhi yao wanaamini Mali ndo maisha na mwisho kuuana na kuombeana mabaya lack of awareness


Maisha bila Mungu ni harakati zisizokuwa na Mwisho .
 
Kesi siyo ngumu jaji katumia busara wanafamilia wakamalizane huko uraiani. Nina imani wazee wa kipare watakaa kulimaliza otherwise itatafutwa namna nyingine ya kulimaliza hili suala nje ya mahakama. Haijaiisha mpaka iishe.
Walishindwa vipi kummaliza miaka yote 8? Wazee wa busara hawana maajabu
 
Kweli RUSHWA ipo mahakamani jaman. Mimi nimesikitika kuona huyu mama kaachiwa huru. Najua sheria haina macho lakini kwa hili hapana. Huyo mama ni mafia kweli. Enyi majaji kifo kitawanyoosha.
 
The law of karma is real✅
 
Hiyo biology yako hukufundishwa adaptation? Kwamba wao miili yao ni zege haiwezi kuadapt mazingira mapya?
 
Mara nyingi Sana watuhumiwa wa mauaji wengi wanaachiwa huru hapa kitan kwwtu wako wawili wameachiwa na wanadunda vzr tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 

Binafsi nawaelewa sana wale jamaa wanaoamua kumalizana wenyewe tu.

Anakwambia kabisa hana muda wa kusumbuana mahakamani, na yeye wala hataki kuonea mtu.

Hukumu itakuja mbinguni. Kama apate amani ni kutoa roho yako then utakutana adhabu hiyo.
 
Nilikuwa nafuatilia hii kesi Polisi ni wajinga sana kuandaa charge sheet, ushahidi wao ulikuwa na uwalakini mwingi, wakili Kibatala aliwapelekesha wakajikuta wapo uchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…