Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Tayari hapo kaweka chake pembeniJaji wa hii kesi anaonekana kama msaliti.
Kesi ngumu sana hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari hapo kaweka chake pembeniJaji wa hii kesi anaonekana kama msaliti.
Kesi ngumu sana hii
Huyu analilia mali. Kuona zinarudi kwa mke.Ndugu wa Marehem bilionea Msuya akilia mahakamani baada ya washtakiwa wa mauaji ya Aneth Msuya kuachia huru na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam leo Februari 23.
Pia soma:
- Mke wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haikumkuta na hatia
- Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake
Walishindwa vipi kummaliza miaka yote 8? Wazee wa busara hawana maajabuKesi siyo ngumu jaji katumia busara wanafamilia wakamalizane huko uraiani. Nina imani wazee wa kipare watakaa kulimaliza otherwise itatafutwa namna nyingine ya kulimaliza hili suala nje ya mahakama. Haijaiisha mpaka iishe.
Kweli RUSHWA ipo mahakamani jaman. Mimi nimesikitika kuona huyu mama kaachiwa huru. Najua sheria haina macho lakini kwa hili hapana. Huyo mama ni mafia kweli. Enyi majaji kifo kitawanyoosha.Ndugu wa Marehem bilionea Msuya akilia mahakamani baada ya washtakiwa wa mauaji ya Aneth Msuya kuachia huru na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam leo Februari 23.
Pia soma:
- Mke wa bilionea Msuya aachiwa huru, Mahakama haikumkuta na hatia
- Dar: Mke wa Bilionea Msuya akutwa na Kesi ya Kujibu mauaji ya wifi yake
Kafanikiwa kumuacha mkewe na mke hakupata mgao hata Mia.Davis mosha amekufa lini tena mbona sijamuona huku kuzimu
Usichanye madesa.Inasikitisha wapi? Maigizo? Wanawake wa kaskazini ni hatari kwa kupenda mali kuliko utu
The law of karma is real✅Muda mwingine tunaweza kulaumu na kukosoa sana ila Hiyo inaweza ikawa ni Karma kwa upande wa Familia ya Bilionea Msuya.....maana hatujui aliishi maisha ya namna gani aliumiza wangapi ? na hatujui pia alitenda wema kwa wangapi ?
Mfano, siku za mbeleni familia ya Mtu kama Mr Tall ( Rais wa nchi fulani ya kusadikika) ukiona watoto wake wanapitia Dhuluma au kunyanyasika yamkini kama hujui historia ya familia yao na matendo waliyoyatenda kwa wengne,
unaweza kudhani wanaonewa ila ukipitia Historia ya unyama uliofanywa na Labda Mzazi/wazazi wao unaweza kuhisi ni haki yao nao kupitia Matatizo kama walivyo wasababishia wengine.
Hitimisho : Kama familia imeonewa basi Karma inaweza ikaja kumludia huyo Mke wa Msuya mbeleni.
Hiyo biology yako hukufundishwa adaptation? Kwamba wao miili yao ni zege haiwezi kuadapt mazingira mapya?Yaelekea biology ulipata F na hujui chochote kuhusu sayansi ya mwili wa binadamu.
Ndio maana hata Hujui kucheza mpira kwenye jua kunasababisha Heat Exhaustion kwa wachezaji wanaocheza muda huo
Mfano Ukiambiwa ukimbie kwenye jua vs ukimbie jua limezama.. wapi utachoka haraka?
Science yenyewe inasema heat exhaustion symptoms include feeling of fatigue and a high body temperature. Further symptoms are feeling weak,dizzy etc
Vilaza na matapeli ndio mnapenda sana imani za ushirikina na kuongelea uchawi uchawi
Mara nyingi Sana watuhumiwa wa mauaji wengi wanaachiwa huru hapa kitan kwwtu wako wawili wameachiwa na wanadunda vzr tuNa shida ya ‘Double Jeopardy’ ndio itaonekana hapa. Ukimshtaki mtu kwa mauaji na ukashindwa kumtia hatiani kisha akaachiwa, huruhusiwi tena kumshitaki kwankosa hilo..., hata ikaoatikana ushahidi wa video akifanya mauaji hayo, hiwezi kumshtaki tena!
Wapare kwa uchawi wko vzr lkn Happ kwa mariamu wamegonga mwambaSasa Kuna Kila dalili familia ya Aneth Msuya kwenda kwenye mahakama za kimila.
Vinginevyo hawatoboi!
Muda mwingine tunaweza kulaumu na kukosoa sana ila Hiyo inaweza ikawa ni Karma kwa upande wa Familia ya Bilionea Msuya.....maana hatujui aliishi maisha ya namna gani aliumiza wangapi ? na hatujui pia alitenda wema kwa wangapi ?
Mfano, siku za mbeleni familia ya Mtu kama Mr Tall ( Rais wa nchi fulani ya kusadikika) ukiona watoto wake wanapitia Dhuluma au kunyanyasika yamkini kama hujui historia ya familia yao na matendo waliyoyatenda kwa wengne,
unaweza kudhani wanaonewa ila ukipitia Historia ya unyama uliofanywa na Labda Mzazi/wazazi wao unaweza kuhisi ni haki yao nao kupitia Matatizo kama walivyo wasababishia wengine.
Hitimisho : Kama familia imeonewa basi Karma inaweza ikaja kumludia huyo Mke wa Msuya mbeleni.
Kumbe we gaidiWananihusu?
Ndiyo mkuuKwahiyo wewe hauna utu ?
Hiyo safi sanaKafanikiwa kumuacha mkewe na mke hakupata mgao hata Mia.