Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Chawa kama chawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FunnyWanawafuturisha watu walokula Milo mitatu
Kiki kivipi? Harmo anajulikana hadi na makamu rais wa marekani ndiyo aje kutafuta kiki kwa domondi? wote ni wasanii wakubwa,same level.Amemshobokea na kutafuta kiki hakuna cha kutofautiana mtazamo huyo dogo ni mtu mbaya mwanga.
Vijana wa sinza mmefika mbali sana kibongo bongo.Habari inayotrend kwa sasa ni kijana aliyeibuliwa na Diamond kisha akamsaliti kwa dharau na matusi kila kona aitwae Harmonize. Jana kwenye futari ya Rais aliitumia nafasi ya dhahabu ya uwepo wa Diamond Platinumz kwenye tukio ilo kujaribu kutembelea nyota ya msanii huyo mkubwa ambae kila anapoacha kuzungumziwa na kazi kutofanya vizuri basi amekuwa akitumia jina la Diamond Platinumz kumbeba.
Bila aibu alimshobokea kwa kumfata akimpa shikamoo na kuomba apokee simu yake kwani anataka kumpigia simu wazungumze ni kama kuna ujumbe anataka kufikisha na aliendelea kumshika mkono uku akizitazama camera zichukue tukio ilo ambalo ni adimu sana kwake analoweza kutolea album na ikauza.
Diamond alionekana kushitushwa na mfululizo wa matukio ya kijana huyo mwenye historia mbaya ya usaliti na kufitinisha watu maana alionekana ni kitu alijipanga toka anakuja eneo lile.
Mungu aendelee kumpa riziki na uhai mrefu baba wa bongofleva Diamond Platinumz kwani ameendelea kuwa ngazi kwa yoyote anaetaka kufika juu.
Juzi tu tumeona Ali Kiba akizindua redio ya wadau fulani kisha akitumia jina la Diamond Platinumz kujaribu kufanya promotion asikilizwe.
View attachment 2933144
View attachment 2933145
Mzee small hajawai fika popote ila kafikishwa na diamond Platinumz msanii namba moja Africa.Kiki kivipi? Harmo anajulikana hadi na makamu rais wa marekani ndiyo aje kutafuta kiki kwa domondi? wote ni wasanii wakubwa,same level.
Jeshiiiii lakini sio mbele ya boss wake Diamond Platinumz 😂😂😂Jitahidi huu mwaka umzalie
Walishikwa masikio eti anapambania haki yake kumbe anatafuta attention sasa attention imeisha anarudi kupiga magoti kwa Diamond Platinumz mnyama.Mkono wa Diamond ni bidhaa adimu sana?, nyie ndio mnaletq mabifu ya kifala.
Vijana wa sinza bhana hahahaha kwa hiyo mtaanza kupiga nyimbo zake pale wasafi?hahaha! Hivi ni kweli vijana wa sinza mnavaa urembo kwenye kiuno na miguuni?😂😂😂😂😂Walishikwa masikio eti anapambania haki yake kumbe anatafuta attention sasa attention imeisha anarudi kupiga magoti kwa Diamond Platinumz mnyama.
Jeshi wenu kaenda kulamba miguu ya Diamond Platinumz msanii namba moja Africa.Vijana wa sinza bhana hahahaha kwa hiyo mtaanza kupiga nyimbo zake pale wasafi?hahaha! Hivi ni kweli vijana wa sinza mnavaa urembo kwenye kiuno na miguuni?😂😂😂😂😂
Mzee small hajawai fika popote ila kafikishwa na diamond Platinumz msanii namba moja Africa.
🚮Habari inayotrend kwa sasa ni kijana aliyeibuliwa na Diamond kisha akamsaliti kwa dharau na matusi kila kona aitwae Harmonize. Jana kwenye futari ya Rais aliitumia nafasi ya dhahabu ya uwepo wa Diamond Platinumz kwenye tukio ilo kujaribu kutembelea nyota ya msanii huyo mkubwa ambae kila anapoacha kuzungumziwa na kazi kutofanya vizuri basi amekuwa akitumia jina la Diamond Platinumz kumbeba.
Bila aibu alimshobokea kwa kumfata akimpa shikamoo na kuomba apokee simu yake kwani anataka kumpigia simu wazungumze ni kama kuna ujumbe anataka kufikisha na aliendelea kumshika mkono uku akizitazama camera zichukue tukio ilo ambalo ni adimu sana kwake analoweza kutolea album na ikauza.
Diamond alionekana kushitushwa na mfululizo wa matukio ya kijana huyo mwenye historia mbaya ya usaliti na kufitinisha watu maana alionekana ni kitu alijipanga toka anakuja eneo lile.
Mungu aendelee kumpa riziki na uhai mrefu baba wa bongofleva Diamond Platinumz kwani ameendelea kuwa ngazi kwa yoyote anaetaka kufika juu.
Juzi tu tumeona Ali Kiba akizindua redio ya wadau fulani kisha akitumia jina la Diamond Platinumz kujaribu kufanya promotion asikilizwe.
View attachment 2933195