Habari inayotrend kwa sasa ni kijana aliyeibuliwa na Diamond kisha akamsaliti kwa dharau na matusi kila kona aitwae Harmonize. Jana kwenye futari ya Rais aliitumia nafasi ya dhahabu ya uwepo wa Diamond Platinumz kwenye tukio ilo kujaribu kutembelea nyota ya msanii huyo mkubwa ambae kila anapoacha kuzungumziwa na kazi kutofanya vizuri basi amekuwa akitumia jina la Diamond Platinumz kumbeba.
Bila aibu alimshobokea kwa kumfata akimpa shikamoo na kuomba apokee simu yake kwani anataka kumpigia simu wazungumze ni kama kuna ujumbe anataka kufikisha na aliendelea kumshika mkono uku akizitazama camera zichukue tukio ilo ambalo ni adimu sana kwake analoweza kutolea album na ikauza.
Diamond alionekana kushitushwa na mfululizo wa matukio ya kijana huyo mwenye historia mbaya ya usaliti na kufitinisha watu maana alionekana ni kitu alijipanga toka anakuja eneo lile.
Mungu aendelee kumpa riziki na uhai mrefu baba wa bongofleva Diamond Platinumz kwani ameendelea kuwa ngazi kwa yoyote anaetaka kufika juu.
Juzi tu tumeona Ali Kiba akizindua redio ya wadau fulani kisha akitumia jina la Diamond Platinumz kujaribu kufanya promotion asikilizwe.
View attachment 2933195