Video: Diamond Platnumz na Harmonize wakipata chakula kwa pamoja

Vijana wa sinza mmefika mbali sana kibongo bongo.
 
Walishikwa masikio eti anapambania haki yake kumbe anatafuta attention sasa attention imeisha anarudi kupiga magoti kwa Diamond Platinumz mnyama.
Vijana wa sinza bhana hahahaha kwa hiyo mtaanza kupiga nyimbo zake pale wasafi?hahaha! Hivi ni kweli vijana wa sinza mnavaa urembo kwenye kiuno na miguuni?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mzee small hajawai fika popote ila kafikishwa na diamond Platinumz msanii namba moja Africa.

Binadamu tunategemea ,huyo Mond na yeye kafika hapo kwa kushikwa mkono na ni win-win situation ,mutualism -both parties benefit by being together ,msanii namba moja afrika unamjua mkuu au unachangamsha genge? Muulize Puff Daddy aka Pdiddy aka Diddy atakwambia.
 
๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ