Video: Diamond Platnumz na Harmonize wakipata chakula kwa pamoja

Na mimi nilikula chakula na mbwa wangu, kati ya makundi haya mawili Mungu analipenda lipi, kundi la kuigiza kuwa wema wakati wa Ramadan au linaloishi kiuhalisia?


Mungu ndo anajua kama wanaigiza au la, wewe unayeingilia kazi ya Mungu na kuhukumu si bora hata kidogo.
 
Uislamu, unapiga vita vikali kabisa kuhusu wanafiki, ni watu wabaya mnoo
Na mimi nilikula chakula na mbwa wangu, kati ya makundi haya mawili Mungu analipenda lipi, kundi la kuigiza kuwa wema wakati wa Ramadan au linaloishi kiuhalisia?
 
Huo wimbo kuwekwa kwenye hiyo video ni ushoga bt then who give the shit hata wakioga pamoja they just some dudes.
 
Hata kama hatujui kusoma, picha tunaziona kaka. Ninakushauri uache uchawa. Au, tumia akili kuliko nguvu kwenye kuwasapoti maboss wako.
Eti mondi ndio baba wa b fleva!! Hata aibu hauna! Hivyo vingine ninaweza kuvumilia ila hili, cwez. Kuna watu walipiga shoo kwa malipo ya 1500, kwenda studio kwa mguu usiwape heshima yao ndio uje kumtukuza boss wako wa .com generation? Usimvunjie kiba n malegend wengine heshima.
Alichokifanya mondi ni kikubwa n ahastahiki pongezi. Lakini, usiwavue malegend majoho ya ulegendari ili umvishe mwana wa kizazi kipya. Huku ni kuikosea Bongo fleva heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…