Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Wapo wengi, siasa ni umalaya, nashangaa wachungaji kutaka kujinajisi kwa kugombea.Uyasema hayo wakiwa na njaa.Mtu masikini hawezi kuwa mwanasiasa boraNi aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Ccm ya njaa na ccm ya shibeAliiponda ccm ya kikwete, Sasa hivi ni boss ccm ya Magufuli. Hizi ni ccm mbili tofauti!
Kina kessy kwao tumbo ni muhimu kuliko taifa maadamu ni wanufaika wa Kodi zetu Hadi wanasaza wanatamani aongezewe mda ili tuendelee kuisoma namba milele Hali wao wakisaza milele sababu wamechukua mikopo mikubwa huku Jamii ikitopea kwenye ufukara.Huu ni ubinafsi wa kiwango cha juu SanaNi dhahiri, sikuhizi wana CCM wengi wanamlamba yesu wao ili waendelee kujipatia milo ya kujaza matumbo yao.
Watu hao (wanaCCM) ni wabinafsi sana, wanaweka matumbo yao mbele kuliko masilahi ya Taifa zima.
Watu hao wanapaswa kupingwa na kukataliwa kwa vitendo popote walipo kwa uhai wa Taifa. View attachment 1502498
Half ray taratibuNi aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Alikuwa na chuki na serikali ya awamu ya 4 kwa sababu iliongozwa na Muislam. Sasa hv wapo manaswara wenzake kapiga kimyaNi aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Hayo aliyasema alipokuwa mtu huru,hivi sasa mkataba wa ajira yake haimruhusu kufanya hivyo, la sivyo atafukuzwa kazi. Na ataubwaga Mshahara wa 20 million ukixhanganya na marupurupu inafika 40m kwa mwezi. Huyu analipwa posho ya laki 2 kwa siku kila akiwa mikoani.Hivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!
Huyo naye mpuuzi tu.Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Anza wewe kwanza wengine watoto wetu bado wadogo sana au unataka tufanye kama ya Malawi tubadilishe chupa ila mvinyo ule ule...Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Yaani mumemuona huyu tuu kama mchumia tumbo. Mimi nasema na wale wote wanao unga mkono viongozi wa vyama vyao ambao ni matapeli, wabadhirifu, wasio na muelekeo wa kitaifa ila ukabila na ukanda kama akina Mbowe, Lipumba, Mrema, nao pia wazomewe na wajitathmini.HIKI KIBABU sijui kinajisikiaje kikiwa kinaujua ukweli lakini kinajaribu kuupotosha kwa hali na mali kwa ajili ya litumbo lake, shame on him!
Aibu yake na mabwana zake
Aiseeee !!Hayo aliyasema alipokuwa mtu huru,hivi sasa mkataba wa ajira yake haimruhusu kufanya hivyo, la sivyo atafukuzwa kazi. Na ataubwaga Mshahara wa 20 million ukixhanganya na marupurupu inafika 40m kwa mwezi. Huyu analipwa posho ya laki 2 kwa siku kila akiwa mikoani.
Wanafiki wako hivyo mara zoteHana msimamo, ni bendera kufuata upepo, lakini siyo peke yake.
Hata katibu wake anakwepa kwepa visiki ni bahati mbaya kwa chama chao.
Lakini leo hii Magufuli akiamua katiba mpya na tume huru, watu hao hao wataanza kuifaigilia tena kwa speed ya 5G
hHja kubwa ipo hapo kwenye UCHAGUZI HURU na WA HAKI. Pigia msitari.Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321
Kuna kosa gani mtu kusisitiza uchaguzi ufanyike kwa uhuru kama inavyofanyika sasa? Acha propaganda za kilevi.Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321