Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

Video: Eti huyu mtu leo ndio kiongozi wa CCM na ndiye anaikataa Tume Huru ya Uchaguzi

Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Wapo wengi, siasa ni umalaya, nashangaa wachungaji kutaka kujinajisi kwa kugombea.Uyasema hayo wakiwa na njaa.Mtu masikini hawezi kuwa mwanasiasa bora
 
Ni dhahiri, sikuhizi wana CCM wengi wanamlamba yesu wao ili waendelee kujipatia milo ya kujaza matumbo yao.

Watu hao (wanaCCM) ni wabinafsi sana, wanaweka matumbo yao mbele kuliko masilahi ya Taifa zima.

Watu hao wanapaswa kupingwa na kukataliwa kwa vitendo popote walipo kwa uhai wa Taifa. View attachment 1502498
Kina kessy kwao tumbo ni muhimu kuliko taifa maadamu ni wanufaika wa Kodi zetu Hadi wanasaza wanatamani aongezewe mda ili tuendelee kuisoma namba milele Hali wao wakisaza milele sababu wamechukua mikopo mikubwa huku Jamii ikitopea kwenye ufukara.Huu ni ubinafsi wa kiwango cha juu Sana
 
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Alikuwa na chuki na serikali ya awamu ya 4 kwa sababu iliongozwa na Muislam. Sasa hv wapo manaswara wenzake kapiga kimya
 
Hivi ni kweli aliyasema hayo kwa kinywa chake mwenyewe au amelishwa maneno hayo? Amewahi kuyakanusha hayo au ameamua kumezea maana hiyo clip nimeiona mara nyingi humu! Kuna watu wana bahati bwana, nyota zao zinang'aa hata wakifanya madudu huonekana dhahabu. Alikiponda chama chetu lakini leo ni boss wetu!
Hayo aliyasema alipokuwa mtu huru,hivi sasa mkataba wa ajira yake haimruhusu kufanya hivyo, la sivyo atafukuzwa kazi. Na ataubwaga Mshahara wa 20 million ukixhanganya na marupurupu inafika 40m kwa mwezi. Huyu analipwa posho ya laki 2 kwa siku kila akiwa mikoani.
 
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa

Hapo alikuwa bado hajatahiriwa na itikadi za lumumba.
 
Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .

Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
Anza wewe kwanza wengine watoto wetu bado wadogo sana au unataka tufanye kama ya Malawi tubadilishe chupa ila mvinyo ule ule...
 
HIKI KIBABU sijui kinajisikiaje kikiwa kinaujua ukweli lakini kinajaribu kuupotosha kwa hali na mali kwa ajili ya litumbo lake, shame on him!

Aibu yake na mabwana zake
Yaani mumemuona huyu tuu kama mchumia tumbo. Mimi nasema na wale wote wanao unga mkono viongozi wa vyama vyao ambao ni matapeli, wabadhirifu, wasio na muelekeo wa kitaifa ila ukabila na ukanda kama akina Mbowe, Lipumba, Mrema, nao pia wazomewe na wajitathmini.

Leo wanachadema baada ya kuangalia namna ya chama chao kinavyofanya kwenye kinyanganyiro cha ugombea uraisi, wamebaki kwa ku BWAKIA yanayoendelea kwengine, acheni unafiki kwenu Nyufa zimejaa, na kama hamkufanya jitihada ya kuwapiga vita waharibifu, mtatuharibia chama pinzani kilichikuwa kinakifanya chama chetu tawala kujirekebisha. Tusijidanganye bila chama madhubuti cha upinzani, baadhi ya viongozi wetu wa CCM wangefanya kufuru nyingi sana.

Mimi ni muamini wa upinzani, japokuwa mnazo changa moto nyingi za nje na ndani.
 
Kalamu1, Kuna wengi kama hao kweny chama hicho na chama Kile, kama akina Lema, Sugu, Halima nk ..., kwa hivyo msishangae watu wa aina yake ni wengi sina kila sehemu.
 
Hana msimamo, ni bendera kufuata upepo, lakini siyo peke yake.
Hata katibu wake anakwepa kwepa visiki ni bahati mbaya kwa chama chao.
Lakini leo hii Magufuli akiamua katiba mpya na tume huru, watu hao hao wataanza kuifaigilia tena kwa speed ya 5G
 
Hayo aliyasema alipokuwa mtu huru,hivi sasa mkataba wa ajira yake haimruhusu kufanya hivyo, la sivyo atafukuzwa kazi. Na ataubwaga Mshahara wa 20 million ukixhanganya na marupurupu inafika 40m kwa mwezi. Huyu analipwa posho ya laki 2 kwa siku kila akiwa mikoani.
Aiseeee !!
 
Hana msimamo, ni bendera kufuata upepo, lakini siyo peke yake.
Hata katibu wake anakwepa kwepa visiki ni bahati mbaya kwa chama chao.
Lakini leo hii Magufuli akiamua katiba mpya na tume huru, watu hao hao wataanza kuifaigilia tena kwa speed ya 5G
Wanafiki wako hivyo mara zote
 
Back
Top Bottom