@johnthebaptistNi aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321
Thubutu !
Sasa ndio umeandika nini? Mzee wako aliunguza ada kwakweliUtueleze wewe muntu ya wapi?.. hivi bidii yako ya nyuma kwa kudonoa.. inakupiga hadi unamuandika Kiongozi wako mpendwa kihivi!!!.. kaa tu chini uendelee kulia.. acheni kutafuta kisingiziwo.. huku mukijua kwamba.. chama yenu ni mupo ndani ya futi sita.. siku ingine weka fuli sio kipande..
Nambie utakubwa na uchaguzi huu au ndio watakupita.. kisa kazi ya humu tu umeshindwa?[emoji4] pole
Ninakubaliana nawe kuhusu kuwepo na waigizaji wa aina hiyo katika vyama vya siasa vyote hapa Tanzania.Kalamu1, Kuna wengi kama hao kweny chama hicho na chama Kile, kama akina Lema, Sugu, Halima nk ..., kwa hivyo msishangae watu wa aina yake ni wengi sina kila sehemu.
Fungua macho, wengi wapo Chadema. Na hao niliowataja hawana uimara wowote, ila wao waajiriwa wa mbowe, hawana Nationalism na loyality yao ni kwa mtu binafsi na sio chama wala taifa. Labda useme uimara wa ajira na bosi waoNinakubaliana nawe kuhusu kuwepo na waigizaji wa aina hiyo katika vyama vya siasa vyote hapa Tanzania.
Kuhusu hao uliowataja sijui kama nao ni waigizaji kama huyu anayezungumziwa hapa. Baadhi ya hao wameonyesha uimara wao katika wanayoyaamini na hawakutetereka walipojaribiwa kwa njia mbalimbali zikiwemo za mateso. Uigizaji wa hawa utakuwa na kitu cha ziada zaidi ya kuwa waigizaji wa kawaida tunaowaona, hasa wakiwa ndani ya CCM.
Kama wale viongozi wa chadema waliokua wanamtukana lowasa baadae wakayageuka madai yao... Tamaa yao ikawatoa akiliHao ndio watakao "CHOMWA MOTO" na Sir. God siku ya kiama, tena watachomwa kisawasawa. Kwa jinsi walivyo wanafiki.
Unapoandika mambo mazito kama haya utaonekana mpuuzi kama huweki uthibitisho wa hayo unayoyaandika.Fungua macho, wengi wapo Chadema. Na hao niliowataja hawana uimara wowote, ila wao waajiriwa wa mbowe, hawana Nationalism na loyality yao ni kwa mtu binafsi na sio chama wala taifa. Labda useme uimara wa ajira na bosi wao
Sasa ndio umeandika nini? Mzee wako aliunguza ada kwakweli
kiazi huyuNi aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321
Leo amepewa shavu CCM anawabania hadi watu wasiende kugombea. Ama kweli mchawi mpe mwanao akulelee.Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321
Huyu jamaa haijui CCM vizuri....atakwenda kwao kulima viazi!!Leo amepewa shavu CCM anawabania hadi watu wasiende kugombea. Ama kweli mchawi mpe mwanao akulelee.
CCM ya sasa ni ya Magufuli. Hawezi kurudi kwao unless Magufuli afe au hadi 2025 incase asipojiongezea muda.Huyu jamaa haijui CCM vizuri....atakwenda kwao kulima viazi!!
Nimeyapenda maneno yako mawili baada ya Unless....CCM ya sasa ni ya Magufuli. Hawezi kurudi kwao unless Magufuli afe au hadi 2025 incase asipojiongezea muda.
Tatizo ni wapiga vigelegele... huyo ndio shujaa waoNi aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321
Ndiyo maana ninaamini wapo tayari hata kukutoa roho ili wasiachie madaraka. Manake kama upinzani ukiingia huyu atasema nini sasa kwa statement yake hii! Hovyo kabisa!Ni aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321
Aisee...eti naye huyu ni kada wa kijani...na analipwa buku Saba.Utueleze wewe muntu ya wapi?.. hivi bidii yako ya nyuma kwa kudonoa.. inakupiga hadi unamuandika Kiongozi wako mpendwa kihivi!!!.. kaa tu chini uendelee kulia.. acheni kutafuta kisingiziwo.. huku mukijua kwamba.. chama yenu ni mupo ndani ya futi sita.. siku ingine weka fuli sio kipande..
Nambie utakubwa na uchaguzi huu au ndio watakupita.. kisa kazi ya humu tu umeshindwa?[emoji4] pole
Kiazi huyuNi aibu kubwa sana kwake binafsi na kwa familia yake na ni doa la milele .
Ifike mahali watu kama hawa wakipita mitaani wazomewe, hawa ni hasara kwa Taifa
View attachment 1502321
Awezaje kuliona ilhali kavaa miwani ya mbao!?huoni tatizo ?